Rais Samia Aipongeza Yanga Kucheza Fainali
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameipongeza klabu ya Yanga kwa kufika hatua ya fainali kombe la shirkisho Afrika, licha ya kushindwa kutwaa ubingwa lakini timu hiyo ilishinda mchezo huo. …
Yanga Yaonesha Show ya Kibabe Algeria
TIMU ya Yanga kutoka Tanzania imeshindwa kuchukua ubingwa wa kombe la shirikisho huko Algeria dhidi ya USM Alger. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa. Yanga licha …
Je ni Kweli Namba 3 Haina Bahati na Simba & Yanga
Ukweli ni kwamba timu za Tanzania Simba na Yanga zimeonesha soka zuri sana kwa misimu ya hivi karibuni, ambapo Yanga kwa upandce wa kombe la shirikisho wamepoteza fainali yao ya …
Manchester City Mabingwa Fa Treble iko Njiani
Klabu ya Manchester City imefanikiwa kutwaa ubingwa wa kombe la shirikisho la soka nchini Uingereza Fa Cup baada ya kuwafunga majirani zao klabu ya Manchester United mabao mawili kwa moja …
Kocha wa Barcelona Xavi Amlaumu Mourinho
Kocha wa Barcelona Xavi anasisitiza kwamba wachezaji na makocha lazima waongoze kwa mfano na anatumai hakutawahi kuwa kama José Mourinho baada ya Fainali ya Ligi ya Europa Jumatano dhidi ya …
Marco Asensio Rasmi Aaga Madrid
Winga wa kimataifa wa Hispania Marco Asensio ambaye alikua anakipiga ndani ya klabu ya Real Madrid ametangaza kuondoka ndani ya klabu hiyo baada ya kudumu kwa muda wa takribani miaka …
Milan Wamethibitisha Kuwa Ibrahimovic Hataongeza Mkataba
Milan wamevijulisha vyombo vya habari kuwa kutakuwa na hafla ya kumpigia saluti Zlatan Ibrahimovic kesho huko San Siro, kwani mkataba wake hautaongezwa, lakini maisha yake ya Serie A yanaweza kuendelea. …
Allegri: “Ni Lini Juventus Wataanza Kupanga Mipango ya Siku Zijazo”
Massimiliano Allegri anasema Juventus itaanza kupanga kwa ajili ya siku zijazo Jumatatu atakapojua kama atacheza kwenye Conference au Europa League msimu ujao. Bianconeri watamenyana dhidi ya Udinese kwenye uwanja …
Manchester United Kumchukua Kipa wa Porto
Klabu ya Manchester United ipo kwenye mazingira mazuri ya kumchukua golikipa namba moja wa klabu ya Fc Porto pamoja na timu ya taifa ya Ureno Diogo Costa ambapo inataarifiwa kipa …
United na Bayern Wapo Katika Mbio za Kumnasa Nyota wa Juve Vlahovic
Manchester United na Bayern Munich ziko mbioni kuwania saini ya nyota wa Juventus Dusan Vlahovic msimu huu wa joto. Uhamisho wa mkali huyo wa Serbia, Juventus, haujasonga mbele kama …

