Fainali Ubingwa wa Wazi wa Taifa Kufanyika Leo
SOKA LA BONGO

Chimbuko la Vipaji laibua kina Mandonga wapya, huku wachezaji 137 washiriki jumla ya fainali 14 kupigwa Tandale jijini Dar es salaam.   Fainali za Mashindano ya Taifa ya Ubingwa wa …

Soma zaidi
Ten Hag Anasema Kuzuia Ushindi wa City Mara Tatu Sio Motisha ya Ziada
FA Cup

Kocha wa Manchester United Erik ten Hag anasema kuwa nafasi ya kusimamisha ushindi wa Manchester City mara tatu haitoi motisha ya ziada kuelekea fainali ya Kombe la FA.   Macho …

Soma zaidi
Moutinho na Costa Wanaondoka Wolves Huku Traore Akiwa Kwenye Mazungumzo ya Kubaki
Daily News

Joao Moutinho na Diego Costa wanatarajiwa kuondoka Wolves wakati kandarasi zao za sasa zikiisha huku Adama Traore akiwa bado kwenye mazungumzo ya kuongeza mkataba.   Mkurugenzi wa michezo wa klabu …

Soma zaidi
Guardiola Amesema Wachezaji wake Watajitolea Kila Kitu Kushinda Kombe la FA
FA Cup

Pep Guardiola amewaahidi mashabiki wa Manchester City timu yake “itatoa kila kitu” kuwashinda wapinzani wao Manchester United kwenye fainali ya Kombe la FA hii leo.   Vilabu majirani vinapambana katika …

Soma zaidi
Ramos Ametangaza Kuondoka PSG Msimu Huu wa Joto
Ligue 1

Sergio Ramos atamfuata Lionel Messi kutoka Paris St Germain huku mabingwa hao wa Ufaransa wakithibitisha kuondoka kwa beki huyo mkongwe wa Uhispania mwishoni mwa kandarasi yake.   Ramos amekaa kwa …

Soma zaidi
Kvaratskhelia Mchezaji Bora Serie A
Serie A

Winga wa klabu ya Napoli na timu ya taifa ya Georgia Khvicha Kvaratskhelia ametangazwa kua mchezaji bora wa ligi kuu ya Italia msimu huu maarufu kama Serie A. Kvaratskhelia amekua …

Soma zaidi
Real Madrid inamfukuzia Kai Havertz
La Liga

Klabu ya Real Madrid inamfukuzia mchezaji wa Chelsea raia wa kimataifa wa Ujerumani Kai Havertz katika dirisha hili kubwa majira ya joto ili kuhakikisha wanaimarisha kikosi chao katika safu ya …

Soma zaidi
Mourinho Ashtakiwa na UEFA kwa Kumkosoa Mwamuzi Taylor
Europa League

Jose Mourinho ameshtakiwa na UEFA kwa kumkosoa mwamuzi Anthony Taylor kufuatia kushindwa kwa Roma katika fainali ya Ligi ya Europa dhidi ya Sevilla mjini Budapest Jumatano.   Picha za video …

Soma zaidi
Guardiola: Man United imepata Kocha Mzuri kwa Miaka Mingi
Daily News

Kocha wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola amesema kua klabu ya Manchester United imepata kocha mzuri ambaye watakua nae kwa muda mrefu ambaye ni kocha raia wa Uholanzi Erik …

Soma zaidi
Guardiola Apunguza Wasiwasi Kuhusu Utimamu wa Wachezaji Wake Kabla ya Fainali ya Kombe la FA
FA Cup

Pep Guardiola amepunguza wasiwasi kuhusu utimamu wa wachezaji kadhaa muhimu wa Manchester City kabla ya fainali ya Kombe la FA dhidi ya Manchester United hapo kesho.   Jack Grealish, Kevin …

Soma zaidi
1 2 3 489 490 491 492 493 494 495 2,271 2,272 2,273
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.