Rafael Leao Ajitia Kitanzi Milan
Serie A

Winga wa kimataifa wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Ac Milan inayoshiriki ligi kuu ya Italia maarufu kama Serie A Rafael Leao amejitia kitanzi ndani ya klabu hiyo mpaka mwaka …

Soma zaidi
Lingard Apigwa Shoka Nottingham Forest
Daily News

Jesse Lingard anaongoza orodha ya nyota sita waandamizi ambao hawataongezewa kandarasi zao na Nottingham Forest.   Kiungo huyo wa zamani wa Manchester United mwenye miaka 30, aliwasili kwenye Uwanja wa …

Soma zaidi
Nzonzi: “Messi Hana Chochote cha Kuthibitisha na Atakuwa Bora Ligi ya Saudi Arabia”
Daily News

Steven Nzonzi amesema kuwa, Lionel Messi hana chochote cha kuthibitisha katika maisha yake ya soka na kuna na mengi ya yeye kupenda kuhusu kucheza nchini Saudi Arabia.   Huku muda …

Soma zaidi
Haaland: Kushinda Treble na City Itakuwa Ndoto Yangu Kubwa
Daily News

Erling Haaland anasema Treble ya kihistoria akiwa na Manchester City itakuwa “ndoto yake kubwa” na anatumai kutimiza kusudi lake na kusaidia kufanikisha Ligi ya Mabingwa.   Kikosi cha Pep Guardiola …

Soma zaidi
Outtara Aanza Tizi Simba SC
SOKA LA BONGO

BEKI wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Simba ambaye amekuwa nje ya uwanja kwa muda Mohamed Ouattara hatimaye ameanza mazoezi. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi …

Soma zaidi
Nabi Afunguka Sababu ya Yanga Kufungwa Magoli ya Faulo
SOKA LA BONGO

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kufungwa kwa timu hiyo kutokana na mipira ya adhabu ni sehemu ya mpira. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi …

Soma zaidi
Simba Waanza Dozi Kuimaliza Coastal, Polisi
SOKA LA BONGO

MECHI mbili zimebaki kwa Simba kukamilisha ndani ya msimu wa 2022/23 ikiwa ni dakika 180. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa. Simba SC ipo nafasi ya …

Soma zaidi
Ajax Inawinda Kocha Mpya Baada ya Kumwachilia Heitinga
Daily News

Ajax wanatafuta kocha mkuu mpya baada ya kumwachilia John Heitinga msimu huu wa 2022/2023.   Beki wa zamani wa Everton Heitinga mwenye miaka 39, alichukua nafasi ya Alfred Schreuder mwishoni …

Soma zaidi
Leeds Wanamsaka Kocha Mpya Baada ya Big Sam Kuthibitisha Kuondoka
Daily News

Leeds wamethibitisha kuwa Sam Allardyce hatakuwa kocha wao msimu ujao baada ya klabu hiyo kushuka daraja kwenye michuano hiyo.   Aliyekuwa mkufunzi wa Uingereza Allardyce mwenye miaka 68, alichukua mikoba …

Soma zaidi
Milan Kutangaza Mkataba wa Rafael Leao Kesho
Serie A

Ripoti nyingi zinaonyesha Rafael Leao atatangaza kuongeza mkataba mpya na Milan kesho, ingawa ilikubaliwa mwezi uliopita.   Wakurugenzi wa vilabu walikuwa wamedokeza mara kwa mara kwamba makubaliano hayo yametimizwa na …

Soma zaidi
1 2 3 490 491 492 493 494 495 496 2,271 2,272 2,273
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.