NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kufungwa kwa timu hiyo kutokana na mipira ya adhabu ni sehemu ya mpira. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.
Yanga ikiwa imefungwa mabao 7 kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, kuanzia hatua ya makundi mpaka fainali imefungwa mabao matano yaliyotokana na mapigo huru.
Miongoni mwa mabao ambayo walifungwa yaliyotokana na mapigo huru ilikuwa kwenye mchezo dhidi ya TP Mazembe, Real Bamako, US Monastr mabao mawili na dhidi ya USM Alger kwenye mchezo wa fainali. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.
Katika mabao hayo yote hakuna pigo la penati bali ni faulo pamoja na kona kama ilivyokuwa kwenye mchezo dhidi ya Real Bamako. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Nabi amesema kuwa kwenye mpira hakuna timu ambayo haitafuti ushindi ndani ya dakika 90. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.
“Hakuna timu ambayo haitafuti matokeo ambacho kimetokea kwa kufungwa mabao ya adhabu ni makosa kwenye mpira na ipo wazi kuwa mpira ni mchezo wa makosa,” amesema Nabi.


