Simba Waanza Dozi Kuimaliza Coastal, Polisi

simba

MECHI mbili zimebaki kwa Simba kukamilisha ndani ya msimu wa 2022/23 ikiwa ni dakika 180. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Simba SC ipo nafasi ya pili kwenye msimamo na vinara wa ligi ni Yanga ambao wametwaa ubingwa wa ligi msimu huu.

Ikumbukwe kwamba Yanga inaiwakilisha Tanzania kwenye anga za kimataifa ikiwa ipo hatua ya fainali Kombe la Shirikisho Afrika na itapambana na USM Alger Juni 3. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Kikosi hicho chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kimeanza maandalizi kwa mechi hizo. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Ni dhidi ya Polisi Tanzania unaotarajiwa kuchezwa Juni 6 na ile kete ya pili na ya mwisho inatarajiwa kuchezwa Juni 9. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.

Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari ndani ya Simba amesema wapo tayari kwa mechi hizo mbili.

“Tunahitaji kufanya vizuri kwenye mechi zetu ambazo zimebaki na tunajua kutakuwa na ushindani mkubwa mashabiki wajitokeze kwa wingi,”.

Miongoni mwa nyota ambao wameanza mazoezi ni pamoja na Onyango Joash, Henock Inonga, John Bocco, Jean Baleke.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.