Sadio Kanoute Agoma Kurudi Simba, Sababu Zatajwa

Simba
Kiungo wa Simba SC Sadio Kanoute

Taarifa kutoka Nchini Mali zimethibitisha kuwa Kiungo Mkabaji anayemaliza Mkataba wake mwishoni mwa Msimu huu Ndani ya Simba SC, Sadio Kanoute ‘Puttin‘ amegoma kurejea Tanzania kwa ajili ya mazungmumzo ya kuongeza kandarasi ya kuendelea kusalia Simba SC. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.

Puttin hayupo tayari kufungua ukurasa wa Mazungumzo na sasa anahitaji Changamoto mpya za Nje ya Simba SC. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Huku ikifahamika kuwa tayari ameingia kwenye mazungumzo na vilabu viwili huku kimoja kikiwa cha Nchini Afrika kusini na Kingine kutoka Morocco. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Kanoute Aliuomba Uongozi wa klabu ya Simba umruhusu akapumzike kwakuwa ligi yenyewe imesaliwa na michezo miwili tu.

Huku ikifahamika kuwa bado viongozi wa Simba SC wanaamini atarejea na kuongeza kandarasi Mpya ya miaka miwili Waliyomuandalia. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.