Outtara Aanza Tizi Simba SC

simba

BEKI wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Simba ambaye amekuwa nje ya uwanja kwa muda Mohamed Ouattara hatimaye ameanza mazoezi. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.

Nyota huyo hakuwa fiti baada ya kupata maumivu alipokuwa kwenye majukumu yake.

Alikuwa miongoni mwa nyota waliopata nafasi ya kucheza mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Katika mchezo huo zama za Kocha Mkuu Zoran Maki ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Yanga 2-1 Simba na alikuwa shuhuda wa taji la kwanza likielekea Jangwani.

Simba inafanya maandalizi ya mechi mbili za Ligi Kuu Bara kukamilisha mzunguko wa pili ndani ya 2022/23. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Ni dhidi ya Polisi Tanzania unaotaraiiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex Juni 6,2023.

Ahmed Ally Meneja wa Idara ya Habari amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mechi zilizobaki kupata matokeo chanya. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Acha ujumbe