Mchezaji wa zamani wa klabu ya As Roma Francesco Totti ameweka wazi nia yake ya kutaka kumshawishi mchezaji ambaye anamaliza muda wake kwenye klabu ya Juventus Paulo Dybala kujiubga na klabu ya Roma kwa msimu ujao.

Francesco Totti ameweka wazi swala hilo wakati akifanya mahojiano na kituo cha Sky Italia kuhusu mpango wake huo, huku akitaka kuitumia siku ya jumatatu ambapo watakuta kwenye dimba la San sirro kwenye nchezo uliondaliwa na Samuel Etoo.

Francesco Totti
Francesco Totti

“Tutaangalia kama tunaweza kunaweza kumleta Rome. Nitakutana nae jumatatu na natumai tutamshawishi Dybala. Tupo jijini Milan kwa ajiri ya mechi ya Etoo, tutacheza pamoja na nitampa ushauri kuhusu kujiunga na Rome.

“Tutajaribu kumuwekea kitu kipya kichwani mwake, natumai tutafanikiwa. Hivyo ndivyo, Kama Rome ikiwa na mtazamo sawa kama mimi.” Alisema Francesco Totti

Awali kocha wa klabu hiyo Jose Mourinho ailiropotiwa kuwa ana mpango na sahauku ya kutaka kumsajiri na kumshawisji kujiunga kwenye klabu hiyo.

Mpaka sasa Dybala amehusishwa na vilabu vya Inter Milan inayoshiriki ligi kuu ya Italia Serie A, Manchester United, Tottenham, Arsenal vyote vya Uingereza na Atletico Madrid ya Hispania.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa