Mabingwa watetezi wa Klabu Bingwa Afrika Al-ahly ya Misri imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa zamani wa Borussia Dortmund Anthony Modeste kama mchezaji huru.
Al-Ahly Yamsajili Modeste wa Dortmund

Modeste mwenye miaka 35,  amesinya kandarasi ya mwaka mmoja akiwa na chaguo la kuongeza mwaka mmoja zaidi.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Modeste aliwahi kukipiga FC Koln ya Ujerumani, amekuwa mchezaji huru tangu aachane na Dortmund mwezi Juni.


Al-Ahly Yamsajili Modeste wa Dortmund

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Mkataba wake na Al Ahly, utamfanya apokee Tsh Bil 3.7 kwa msimu, huku akilamba bonasi kibao kutokana na kiwango chake bora ndani ya uwanja.


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa