UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa upo kamili gado utapambana kufanya vizuri kitaifa na kimataifa msimu wa 2024/25 ndani ya uwanja kwa kufanya maandalizi mazuri. Meridianbet inakupa ushindi kirahisi, bashiri mechi nyingi uwe tajiri.
Timu hiyo inanolewa na Kocha Mkuu, Yusuph Dabo imemaliza ligi ikiwa nafasi ya pili na pointi 69 sawa na Simba iliyo nafasi ya tatu baada ya ushindani mkubwa kwa wababe hao wawili wakitofautiana kwenye mabao ya kufunga na kufungwa.
Azam FC itashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na Yanga huku Simba na Coastal Union hizi zitashiriki Kombe la Shirikisho Afrika. Michezo mingi inaendelea Meridianbet ni shimo la utajiri, jisajili hapa kuwa tajiri.
Tayari Azam FC imeanza kuwatambulisha nyota wapya ikiwa ni mzawa Adam Adam ambaye aliwahi kucheza timu ya vijana na msimu wa 2023/24 alikuwa ndani ya Mashujaa FC inayotumia Uwanja wa Lake Tanganyika Kigoma.
Ofisa Habari wa Azam FC, Hasheem Ibwe ameweka wazi kuwa mpango mkubwa wa Azam FC ni kufanya vizuri kitaifa na kimataifa kwa kuwa wapo kamili gado nje ndani.
“Tupo kamili gado kila mashindano ambayo tunashiriki tunatambua kwamba tutakuwa ndani ya Ligi ya Mabingwa Afrika hivyo maandalizi yake yatakuwa makubwa.
“Msimu uliopita tuliweka wazi kuwa tunahitaji kufanya kweli kwenye ligi ya ndani na sasa tupo Ligi ya Mabingwa Afrika nako huko pia tutafanya kweli, tupo vizuri.”
Cheza michezo mingi ya Kasino Mtandaoni, na sloti kujiweka karibu zaidi na utajiri, dau lolote linaweza kubadili maisha yako.
This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.
Strictly Necessary Cookies
Strictly Necessary Cookie should be enabled at all times so that we can save your preferences for cookie settings.
If you disable this cookie, we will not be able to save your preferences. This means that every time you visit this website you will need to enable or disable cookies again.