Aziz Ki Bado Yupo Jangwani

TAARIFA kutoka ndani ya Yanga zinasema kuwa kiungo wa klabu hiyo raia wa Burkinafaso Stephen Azizi KI ataendelea kubaki ndani ya klabu hiyo.

Makubaliano baina ya Uongozi wa Young Africans na kiungo wake Stephane Aziz Ki yalishafikiwa na Aziz Ki ataendelea kusalia Yanga kwa mara nyingine tena.aziz kiHuku taarifa zikidai muda wowote kuanzia sasa mchezaji huyo atatangazwa kuwa bado ni mali ya klabu hiyo yenye maskani yake Jangwani na Twiga Kariakoo.

Hivi majuzi zilizaliwa taarifa kuwa nyota Aziz Ki huwenda akatimka kwenye klabu hiyo baada ya kupata kubwa nje ya Tanzania.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.