CHAMA HUYOO YANGA, AHMED ALLY AZUNGUMZA

Habari  kutoka Simba ni kwamba tayari kila kitu kimekamilika na muda wowote Simba wanaweza kutoa Thank You ya mchezaji wake Chama. Jisajili hapa kuwa wa kwanza kushinda Mamilioni ya Meridianbet kila siku.

Mabosi wa Simba akiwemo tajiri Mohammed Dewji wamefikia makubaliano ya kumuacha mchezaji huyo akatafute changamoto mpya.

Lakini Afisa Habari wa Simba yeye anasema kwamba hana taarifa zozote kuhusu Chama. Michezo ya Kasino na Sloti ni machimbo yanayotoa pesa kirahisi. Cheza kasino hapa.

“Nasema kweli kabisa kaka angu, sina taarifa yoyote kuhusiana na Chama. Kama anaondoka ana anabaki ni jambo lililopo kwenye mikono ya menejiment.

“Kwa Sasa naomba nikupe tu hizo taarifa na yanayoendelea huko mitandaoni ndiyo sijui Kabisaa,” alisema.

Kilichokuwa kinasubiriwa ni Rais wa Heshima wa Simba na Muwekezaji Mo Dewji kuona kama ataweza kutoa dau alilotaka mchezaji huyo ili amwage wino wa kuendelea kukipiga Msimbazi, lakini imekuwa tofauti kwake kwan Tajiri amesema mchezaji huyo aachwe aende anakotaka.

MO Dewji inaelezwa haoni umuhimu wa kuendelea kumbakiza Chama klabuni hapo, kwani umri wake umeenda sana hivyo yeye ameshauri Uongozi huo kutafuta mchezaji mwingine mwenye umri mdogo ambaye atakuwa na uwezo.

DAU LA CHAMA ALILOTAKA

Clatou Chama mwenye umri wa miaka 33 aliuambia uongozi wa Simba kwamba anataka kiasi cha dola 350,000 na mshahara wa usiopungua dola 15000 ndipo asaini mkataba mpya kwa misimu miwili.

Kasino ya Mtandaoni usipange kuacha kucheza, Meridianbet wameakuandalia Maokoto na bonasi za kasino kibao.

Lakini Uongozi wa Simba ukaona pesa hizo ni nyingi sana hivyo walitaka kumpunguzia lakini akagoma, baada ya kuendelea kumshawishi ili akubali kusaini hata mwaka mmoja bado mchezaji huyo aliweka ngumu.

Muda wowote Simba itatoa Taarifa kuhusu mchezaji huyo ambaye anapewa nafasi kubwa zaidi ya kujiunga na Yanga, walio tayari kumpa kila anachokitaka.

Acha ujumbe