Simba Yatua kwa Mwamnyeto, Kila Kitu Freshi

Viongozi wa Simba wanamfuatilia kwa karibu beki wa Yanga Bakari Mwamnyeto ili  kumsajili katika dirisha hili kubwa la uhamisho. Beti na Meridianbet kwa ushindi mkubwa na odds kubwa

Taarifa za uhakika zinaeleza kwamba Mwamnyeto bado hajapewa mkataba mpya na Uongozi wake wa Yanga hadi sasa.

Beki huyo wa Kati ambaye kabla ya kujiunga na Yanga mwaka 2022, alikuwa anahitajika zaidi na Simba lakini Mnyama alizidiwa ujanja na mchezaji huyo akasajiliwa upande wa pili.

Michezo ya Kasino na Sloti ni machimbo yanayotoa pesa kirahisi. Cheza kasino hapa.

Kwa msimu ulioisha Mwamnyeto alikuwa na ingia toka nyigi sana kwenye kikosi cha Miguel Gamondi, huku kocha huyo akionekana kuwapa nafasi zaidi Dickson Job na Ibrahim Bacca tofauti na ilivyokuwa enzi za Nasradinne nabi.

Kauli ya mchezaji huyo wakati wa kukabidhiwa kombe la ubingwa wa NBC alisema kwamba;

“Tusubiri msimu uishe tutaongea zaidi kuhusu hatma yangu Yanga, lakini mimi bado ni mchezaji wa Yanga na malengo ni kuchukua ubingwa wa FA” Aliongea Mwamnyeto.

Simba ndiyo klabu pekee inayohusishwa sana na kuhitaji saini ya mchezaji huyo, huku wakiwa tayari wamemsajili Lameck Lawi, na kumaucha Kennedy Juma na Henock Inonga naye yuko mbioni kuondoka.

Mchakato wa Simba kumsajili Bakari Mwamnyeto utategemea na hatma ya Beki wake Henock Inonga endapo atapewa Thank You, lakini kwa habari za kunyapia nyapia inaelezwa mchezaji huyo aliomba msamaha kwa kile alichokifanya ndani ya klabu hiyo.

Kasino ya Mtandaoni usipange kuacha kucheza, Meridianbet wameakuandalia Maokoto na bonasi za kasino kibao.

Acha ujumbe