Coastal Union Kumkaribisha Dodoma Jiji Kesho

Baada ya kupoteza mchezo wao uliopita dhidi ya Azam, klabu ya Coastal union wanatarajia kumkaribisha Dodoma Jiji katika mchezo wao wa ligi kuu ya NBC hapo kesho katika uwanja wa Mkwakwani.

 

Coastal Union Kumkaribisha Dodoma Jiji Kesho

Coastal ambao juzi hapo wamefanya tukio la kumvamia mwamuzi kutokana na muda ambao uliongezwa lakini kutokana na kupoteza kwao muda na mwamuzi hakumaliza mechi mpaka zikafika dakika 101.

Timu hiyo ya mkoani Tanga wapo nafasi ya 12 baada ya kucheza mechi 12 wakiwa wameshinda mechi tatu pekee, wakienda sare mara tatu lakini pia wakiwa wamepoteza michezo sita pointi 12 kileleni.

Wakati Dodoma Jiji wao wapo nafasi ya 15 baada ya kucheza mechi 13 ushindi mara mbili, sare tatu na wamepoteza michezo nane huku wakijivunia pointi zao tisa kwenye msimamo mpaka sasa.

Coastal Union Kumkaribisha Dodoma Jiji Kesho

Mechi ya mwisho kukutana timu hizi mbili Wagosi wa kaya waliondoka na pointi tatu muhimu. Mchezo wa kesho utakuwa muhimu kwa kila timu kwani timu zote hizo haziko kwenye nafasi nzuri hasa Dodoma.


Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena Cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.

BONYEZA HAPA KUCHEZA

 

 

onana

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.