Mgunda Simba Atoa Tahadhari kwa Coastal Union

BAADA ya ushindi mnono wa jana wa mabao 1-3 dhidi ya Polisi Tanzania, Kocha Mkuu wa Simba SC Juma Mgunda ametoa tahadhari kwa Coastal Union kuelekea mchezo wao unaofuata.

 

simba

Simba itakutana na Coastal Union kwenye mchezo ujao ambao umepangwa kuchezwa tarehe 3, Desemba 2022 ambapo Simba watakuwa ugenini. Kuona ODDS kubwa za mchezo huu pale Meridianbet na ili kubeti bila bando na kubeti na kitochi bofya hapa.

Juma Mgunda ameuzungumzia mchezo huo na kutaja kuwa anaijua vizuri Coastal Union, kwani aliwahai kuifundisha klabu hiyo kama kocha mkuu kabla ya kuchukuliwa na Simba.

“Unapokuja kushindana lengo ni kupata matokeo mazuri, baada ya kucheza mchezo wetu na Mbeya City tuligundua mazuri yetu na makosa yetu tuliyafanyia kazi na ndiyo maana tumepata matokeo mazuri”

simba

“Chama ni mchezaji mzuri akiwa kwenye timu yenye wachezaji wazuri, hivyo Chama ni mzuri kwa sababu amezungukwa na wachezaji wazuri Simba ina wachezaji wote ni wazuri”

“Tunaangalia mechi ijayo, kila mechi ina mpango wake, tunawaheshimu Coastal Union naijua vizuri hivyo tutacheza vizuri ili kupata matokeo” Alisema Mgunda.

Beti mechi zijazo za kombe la dunia na nyingine kupitia Meridianbet, beti na kitochi bila bando, kwenye machaguo spesho ya kombe la dunia yenye ODDS kubwa na bomba, na kama sio mpenzi wa mpira kuna michezo ya kasino mtandaoni napo unaweza kushinda jakipoti kubwa. Beti hapa.


Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena Cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.

CHEZA HAPA

 

MGUNDA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.