Dullah Mbabe Aonesha Ubabe wake kwa Chimwemwe

Bondia mkongwe wa ngumi za kulipwa TANZANIA Abdallah Pazi (29) maarufu kwa jina la Dullah Mbabe usiku wa kuamkia leo alipanda ulingoni kupambana na bondia mwenzake Chimwemwe Chiotcha (39) kutoka nchini Malawi na kumshinda kwa TKO raundi ya nne. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

 

dullah mbabe

Baada ya kupoteza dhidi ya Twaha Kiduku, Dullah Mbabe hakuwa kupambana na bondia mwenye kiwango kikubwa kama Chimwemwe, lakini matokeo ya mechi hiyo yalimalizika na ushindi wa TKO baada ya mpinzani wake kupasuka paji la uso na hivyo pambano kumalizwa kwa kanuni.

Rekodi za Dullah Mbabe amepigana mashindano 46, ameshinda mara 32, kwa KO 29, kupoteza kwa KO ni mara 2, sare ni 1 na raundi alizopigana jumla ni 210 mpaka jana usiku. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Rekodi za mpinzani wake ambaye ni Chimwemwe amepigana mara 30 ushindi 17, kwa KO mara 12 na kupoteza kwa KO mara 5, sare ni mara moja na raundi alizopigana ni 201. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.