Kiungo wa zamani wa Yanga na Simba Haruna Niyonzima amejiunga na timu ya Al Ta’awon inayoshiri Ligi Kuu ya Libya akitokea AS Kigali ya nchini kwao Rwanda. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.

Haruna Niyonzima aliyemaliza safari ya soka la bongo na timu ya Wananchi msimu wa 2021/22 aliagwa na timu hiyo na kisha akarejea nyumbani kwako Rwanda na kupata bahati ya kujiunga na AS Kigali.
Lakini pia Haruna Niyonzima aliwahi kuichezea Simba msimu wa 2020/2021 na kuisaidia timu hiyo kutinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kwa kutoa pasi nzuri kwenda kwa Clotous Chama aliyefunga bao la dakika za lala salama dhidi ya AS Vita. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.
Timu ya sasa ya Niyonzima Al Ta’awon ipo nafasi ya sita (6) kwenye msimamo wa Ligi yenye jumla ya timu 10, imeshinda michezo mitano (5) imetoka sare michezo mitano (5) na kupoteza michezo nane (8) huku ikiwa na alama 20 wakati kila timu imeshacheza michezo 18. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

