Israel Mwenda Ajipiga Kitanzi Simba, Kisa Kapombe

MO Dewji Hataki mchezo kabisa, ameendelea kushusha mashine mpya kuimarisha kikosi cha Simba SC, baada ya kumnasa beki aliyekuwa Singida FG, Kelvin Kijiri ili kuimarisha eneo hilo la kulia lenye mkongwe Shomari Kapombe na Israel Mwenda. Jisajili hapa kuwa wa kwanza kushinda Mamilioni ya Meridianbet kila siku.

Kelvin Kijiri amemalizana na Simba kwa mkataba wa miaka miwili na Mwanaspoti linafahamu, beki huyo amemwaga wino baada ya Israel Mwenda aliyeongezewa mkataba wa miaka miwili Msimbazi kuelezwa amesaini timu mbili.

Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Simba kimefunguka kuwa Kelvin Kijiri amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Simba msimu ujao na wakati wowote atatambulisha na kusafiri kwenda kuungana na wenzake Misri ambako wameweka kambi.

Beti na Meridianbet kwa ushindi mkubwa na odds kubwa, Ligi  zinakaribia kuanza,  usije kupishana na gari la Mshahara.

“Hatukuwa na sababu ya kusajili eneo hilo kwani tayari kulikuwa na Shomari Kapombe na Israel Mwenda lakini kuna shida imetokea ndio maana umefanyika usajili huo ambao pia tunaamini utaongeza nguvu,” kilisema chanzo kutoka ndani ya Simba kilichoongeza;

“Kelvin Kijiri ameungana na msafara wa pili wa timu hiyo sambamba na makocha kwenda kambini Misri.”

KITANZI CHA ISRAEL PATRIC MWENDA KITANZINI

Israel Mwenda ameripotiwa kusaini mkataba Singida Black Stars ili kumkwepa Kapombe ambaye alitarajia asingeongezwa mkataba Simba ili yeye ndio abaki.

Kasino ya Mtandaoni usipange kuacha kucheza, Meridianbet wameakuandalia Maokoto na bonasi za kasino kibao.

Acha ujumbe