Leo ndio siku ya kuwafahamu wapinzani wa Simba na Yanga Kimataifa, huku Azam FC na Coastal Union wakitafuta rekodi ya kujitambulisha katika anga za Kimataifa. Beti na Meridianbet kwa ushindi mkubwa na odds kubwa, Ligi zinakaribia kuanza, usije kupishana na gari la Mshahara.
Simba hatoanzia hatua za awali kutokana na wingi wa alama alizonazo Kimatifa, ila Yanga, Azam FC na Coastal Union wao wataanzia hatua ya awali.
Yanga na Azam FC zinacheza Ligi ya Mabingwa Afrika, huku Simba na oastal Union wakiangukia Kombe la Shirikisho ikiwa ni mara ya kwanza kwa Wagosi wa Kaya kucheza Kimataifa.
Kwa mujibu wa mfumo wa CAF kwenye klabu bingwa Afrika Utaratibu wa kupanga mechi za awali huwa unakuwa na jumla ya makundi matatu, ambapo kuna timu tano ambazo hazitocheza hatua ya awali ( Preliminary) timu hizo ni Al Ahly, Esperance, Mamelodi, Petro na TP Mazembe.
Kisha kuna timu nne (4) ambazo zinatambuliwa kama HIGHEST RANKED yaani ziko na alama nyingi kwenye mfumo wa CAF ambazo timu hizo ni YANGA , Pyramids, Raja na CR Belouzdad.
Jisajili hapa kuwa wa kwanza kushinda Mamilioni ya Meridianbet kila siku.
Kiufundi ukichukua hizo timu tano za juu kisha ukijumlisha na hizo nne basi unaenda kupata jibu ya timu bora Afrika kwa mujibu wa CAF kwenye klabu bingwa Afrika, Premier Club Competitions.
Lakini bado Yanga ataanzia hatua za awali sambamba na hao wenzake watatu, ni timu tano tu hazitoanzia hatua za awali.
Kwa upande wa Kombe la Shirikisho timu ambazo hazitaanzia hatua ya awali zipo 12 ambazo ni;
SIMBA SC- Tanzania
RS BERKANE- Morocco
FC LUPOPO- DR Congo
STADE MALIEN- Mali
ENYIMBA FC-Nigeria
ASEC MIMOSAS- Ivory Coast
ZAMALEK SC- Misri
USM Alger- Algeria
AS Vita- DR Congo
SHEKUKHUNE FC- Zambia
EL MASRY- Misri
CS Sfaxien- Tunisia
Michezo ya Kasino na Sloti ni machimbo yanayotoa pesa kirahisi. Cheza kasino hapa.
This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.
Strictly Necessary Cookies
Strictly Necessary Cookie should be enabled at all times so that we can save your preferences for cookie settings.
If you disable this cookie, we will not be able to save your preferences. This means that every time you visit this website you will need to enable or disable cookies again.