Miguel Gamondi: Chama, Dube Wapewe Muda.

Miguel Gamondi ambaye ni Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa anafurahishwa na usajili ambao umefanywa na Uongozi wa kuleta MASTAA akiwemo Clatous Chama  na Prince Dube. Beti na Meridianbet kwa ushindi mkubwa na odds kubwa, Ligi  zinakaribia kuanza,  usije kupishana na gari la Mshahara.

Gamondi alibainisha kwamba wachezaji wote wapya waliosajiliwa wanahitaji muda wa kutosha kuzoea mazingira ya timu, mbinu na falsafa zake ili kuweza kupata kile ambacho wanakihitaji.

“Nafurahia kuona usajili huu ambao unafanyika. Wachezaji wazuri ambao wanakuja kutupatia kitu kikubwa zaidi kwenye timu yetu.

“Lakini hata hivyo bado wanahitaji muda ili KUELEWA falsafa, mbinu na mazingira ya timu yetu Ili kuweza kutupatia tunachotaka.” Kauli ya Miguel Gamondi Yanga.

Klabu ya Yanga mpaka sasa wamefanikiwa kukamilisha sajili za wachezaji wenye majina makubwa kama Clatous Chama akitokea Simba, ila amesajiliwa kama mchezaji huru.

Michezo ya Kasino na Sloti ni machimbo yanayotoa pesa kirahisi. Cheza kasino hapa.

Chadrack Boka beki wa kushoto ambaye ni mrithi wa Joyce Lomalisa, na Abubakar kHOMEINY Mlinda mlango mrithi wa Metacha Mnata aliyesajiliwa na Singida Blak Stars. Na Mwana Mfalme Prince Dube ambaye alivunja mkaaba wake na klabu ya wauza Ice Cream Azam FC.

Wchezaji wengine wanaopewa nafasi ya kuja kujiunga na Yanga kwa msimu ujao ni Jean Baleke ambaye aliwahi kupita Simba, kabla ya kujiunga na Al Ittihad ya Libya ambako alikuwa mfungaji bora.

Baleke anachukua nafasi ya mshambuliaji Jonathan Sowah ambye alikuwa anahusishwa zaidi na Yanga, lakini Uongozi ukaona ukimsajili Jean Baleke basi tatizo lao la washambuliaji litapa suluhisho.

Moja kati ya mastaa waliopo Simba kwa sasa ni Aziz Ki ambaye hivi karibuni alizua sintofahamu baada ya kusemekana bado hajaongeza mkataba na timu yake ya sasa. Ila Jana Julai 10 amethibitisha kwamba aaendelea kukipiga katika klabu hiyo.

Kasino ya Mtandaoni usipange kuacha kucheza, Meridianbet wameakuandalia Maokoto na bonasi za kasino kibao.

Acha ujumbe