Simba Yampata Mbadala wa Kapombe, Kelvin Kijiri Mbavu ya Kulia

KLABU YA SIMBA imegusa kila eneo msimu huu isipokuwa mlinda mlango tu hii ni baada ya kukamilisha usajili wa beki, Kelvin Kijiri kutoka Singida Fountain Gate. Beti na Meridianbet kwa ushindi mkubwa na odds kubwa, Ligi  zinakaribia kuanza,  usije kupishana na gari la Mshahara.

Wanamsimbazi hao wamesafisha kikosi chao kilichoshindwa kutwaa mataji kwa misimu miwili mfululizo huku wakisajili damu changa kwa kugusa kila eneo.

Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Simba kimefunguka kuwa Kelvin Kijiri amesaini mkataba wa miaka miwili na muda wowote kuanzia sasa atatambulishwa.

Jisajili hapa kuwa wa kwanza kushinda Mamilioni ya Meridianbet kila siku.

“Ni kweli tumemsajili mchezaji huyo (Kelvin Kijiri) ambaye ataungana na mkongwe Shomari Kapombe pamoja na Israel Mwenda ambao tumewaongeza mikataba na David Kameta ‘Duchu’,” kilisema chanzo hicho.

Simba katika dirisha hili la usajili ambalo linaendelea, imesajili mshambuliaji Steven Mukwala ambaye ametoka Asante Kotoko ya Ghana, beki Valentin Nouma akitokea timu ya St. Eloi Lupopo ya DR Congo.

Beki ya kati wamemuongeza Chamou Karaboue na Abdulrazack Mohamed Hamza (23) akitokea klabu ya Supersport United ya Afrika Kusini.

Kwenye eneo la kiungo imemsajili Joshua Mutale, Augustine Okajepha, Debora Mavambo, Jean Charles Ahoua na Yusuf Kagoma hivyo ni wazi imejipanga kutengeneza timu bora kwenye maeneo yote ya uwanja.

Kasino ya Mtandaoni usipange kuacha kucheza, Meridianbet wameakuandalia Maokoto na bonasi za kasino kibao.

Acha ujumbe