Joseph Guede Ampisha Baleke Yanga, Mwenyewe Aibukia Singida

MABOSI wa Singida Black Stars hawataki utani ambapo kwenye safu ya ushambuliaji wamemuongeza mtambo wa mabao Joseph Guede ambaye msimu uliopita wa 2023/24 alikuwa ndani ya Yanga. Jisajili hapa kuwa wa kwanza kushinda Mamilioni ya Meridianbet kila siku.

Utambulisho wake ndani ya Singida Black Stars utaongeza kitu kwenye eneo la ushambuliaji ukizingatia kwamba msimu mpya wa 2024/25 unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

Ikumbukwe kwamba Guede raia huyo wa Ivory Coast, amefunga mabao sita (6) na assist mbili kwenye NBC Premier League, akitumia dakika 1,032 kwenye mechi 17 alizocheza.

Beti na Meridianbet kwa ushindi mkubwa na odds kubwa, Ligi  zinakaribia kuanza,  usije kupishana na gari la Mshahara.

Kwenye CRDB Bank Federation Cup, Joseph Guede amefunga mabao mawili kwenye mechi tano alizocheza akitumia dakika 118. Anaanza changamoto mpya kwenye timu mpya msimu wa 2024/25.

Ipo wazi kwamba Joseph Guede anaingia kwenye orodha ya wachezaji waliofunga bao muhimu kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Uwanja wa Mkapa na timu hiyo ikatinga hatua ya robo fainali 2023/24.

Akiwa na Yanga katwaa mataji mawili makubwa la ligi na CRDB Federation Cup anakuwa chini ya Kocha Mkuu Patrick Aussems wengi wanapenda kumuita Uchebe.

Klabu ya Yanga imesajili wachezaji kibao wenye majina mkubwa na uwezo uwanjani, kuna Clatous Chama, Prince Dube, Chadrack Boka, Aziz Andabwile, na sasa Duke Abuya.

Wachezaji wanaohusishwa zaidi kujiunga na Simba, ni Jean BALEKE aliyewahi kucheza Simba kwa msimu mmoja na nusu akifunga jumla ya mabao 16, kisha akatimkia kwenda klabu ya Al Ittihad ya Libya.

Michezo ya Kasino na Sloti ni machimbo yanayotoa pesa kirahisi. Cheza kasino hapa.

Acha ujumbe