Wawakilishi wawili wa Tanzania kwenye michezo ya Kimataifa, Klabu Bingwa Simba SC na Yanga SC, kila timu inaanzia ugenini ambapo Zambia imempokea Simba kukipiga na Power Dynamos na Rwanda Yanga atacheza na El Merreikh ya Sudan. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

 

Kule Yanga Huku Simba Kimataifa

Michezo yote hii itapigwa leo Septemba 16 majira ya saa 10:00 Alasiri, matokeo ya mechi hizi unayaonaje? Nani ataipeperusha vyema bendera ya Tanzania?


Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Timu zote mbili zitacheza mchezo wa kwanza ugenini ikiwa ni katika kutafuta tiketi ya kutinga hatua ya makundi ligi ya Mabingwa Afrika, upande wa Simba kufuzu hatua hiyo imekuwa ni kawaida kwa miaka ya hivi karibuni.

Kule Yanga Huku Simba Kimataifa

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Lakini upande wa watani zao Yanga kwa miaka mingi sana wamekuwa wakipambana kufuzu hatua ya makundi, na mara nyingi wamekuwa wakiishia hatua za awali raundi ya pili na kudondokea Kombe la Shirikisho.

Msimu uliopita 2023/23 waliondoshwa katika mashindano haya na kugeukia upande wa pili, bahati ilikuwa kwao wakafika mpaka hatua ya fainali. Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa