Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa ameeleza kuwa mchezo wa Simba dhidi ya Al Ahly ya Misri hauna goli la Mama kutokana na matokeo ya mabao 2-2.

Pia ameeleza kuwa kama Wizara wamejifunza namna ya kuandaa matukio makubwa ya mpira wa miguu.

Pia ametoa rai kwa mashabiki kuwa watunze miundombinu ya Uwanja kwani Serikali imefanya kazi kubwa na nzuri.JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa