Ntibazonkiza Kazaliwa Upya Simba, Rekodi Zake Usipime

KIUNGO mshambuliaji wa Simba Saidi Ntibazonkiza ambaye amesajili dirisha dogo lililofungwa Januari 15, 2023 unaweza kusema ni kama kazaliwa upya tu klabuni hapo. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

 

ntibazonkiza

Akiwa na klabu yake hiyo mpya iliyomsajili kutokea Geita Gold Ntibazonkiza namba zake uwanjani hazidanganyi kusema ni mchezaji wa daraja la juu na kiwango chake bado kipo hakijashuka.

Mpaka sasa akiwa na Simba amecheza mechi mbili tu ana jumla ya mabao 5, na asisti 2 kiufupi unaweza kusema kahusika kwenye mabao 7 ya Simba kwa mechi mbili kitu ambacho kinatoa matumaini kwamba mchezaji huyo asipopata majeruhi na kama akienelea kuwa hivyo basi ataisaidia sana Simba. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Simba ammbao walikuwa wakisumbuliwa zaidi kwenye eneo la straika ambaye ni namba 9 asilia, sasa wamemsajili Jean Baleke ambaye kazi yake itakuwa ni moja tu kufunga akiwa amezungukwa na viungo wenye mkubwa wa kutengeneza nafasi kama vile Chama, Ntibazonkiza na Sakho.

baleke

Jumla ya magoli ya sasa kwa nyota huyo wa Burundi ni ana mabao 9 na asisti 8 mpaka sasa, akiwa na Geita Gold alikuwa na mabao 4 na asisti 6. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.