Simba Yatemana na Peter Banda

peter banda

Zikiwa zimesalia siku 3 tu dirisha la usajili kufungwa Agosti 31, hatimaye Simba SC imetangaza kuachana na Winga hatari Peter Banda. Meridianbet Sport tumekuletea sababu zilizofanya Mmalawi huyo kuachwa.

Alitambulishwa kwenye Siku ya Simba Day Agosti 6 kama mchezaji wa Lunyasi msimu wa 2023/23 na picha akapiga.

Akaumia mlinda mlango Mbrazil Jefferson Luis, Uongozi ukashauri atafutwe kipa mwenye uwezo mkubwa kumzidi Ally Salim, sharti awe nyanda wa Kimataifa.

Yakaletwa majina mengi, lakini Ayoub Lakred alipata kura nyingi na kusajiliwa kuwa mlinda mlango mpya wa Simba. odds kubwa unazipata Meridianbet bashiri soka la bongo.

BASHIRI SOKA LA BONGO

Utambulisho wake ulifanya idadi ya nyota wa kigeni kuwa 13 kinyume na kanuni za Ligi zinatozitaka timu kusajili wachezaji 12 wa kimataifa, swali likaja aachwe nani?

Majibu ya swali hili yalijibiwa mapema sana, pale ambapo mlinda mlango mpya Ayoub Lakred kupewa jezi namba 40 aliyoivaa Banda siku ya utambulisho wake, lakini pia Banda akawa sio sehemu ya kikosi kwenye mechi za Ligi.

Na hatimaye leo Peter Banda kapewa Thank You, kipaji cha kweli kutoka Malawi kilichocheza mpaka Ulaya, kimeshindwa kuonesha maajabu yake katika ardhi ya watanzania, Ardhi ya Kambarage Nyerere, Al Hajji Ali Mwinyi, Hayati Mkapa, JK, JPM na sasa Samia Suluhu Hassan.

Kwaheri The Wonder Kid Peter Banda, Tanzania itakumisi, Wanalunyasi wanakupenda sana lakini Football life imechukua nafasi yake.

Unaweza kupata maokoto kibao kama ukicheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.