SINGIDA WAFUNGIWA USAJILI KISA GYAN

Klabu ya Singida Big Stars imefungiwa kufanya usajili mpaka itakapo mlipa mchezaji wake raia wa Ghana Nicolas Gyan.

Uamuzi huo umetolewa na Shirikisho la Mpira wa miguu FIFA baada ya Gyan kushinda madai hayo.

Gyan ambaye bado ana makataba na klabu hiyo alifikia maamuzi hayo baada ya muda wa makubaliano wa malipo kupita huku akikosa msaada kutoka Uongozi wa klabu yake hiyo.

Bado hakuna uthibitisho wa moja kwa moja kutoka kwenye uongozi wa Singida juu ya madai hayo ya Gyan na uamuzi ambao wameuchukua.

Acha ujumbe