Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa maamuzi ya shauri la mkataba kati ya Feisal Salum na Yanga ambalo hapo mwanzo ilijiridhisha kuwa mchezaji huyo bado ni mali ya Yanga. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.
Feisal hakuridhika na uamuzi wa awali na kulazimika kuomba usikilizwaji mpya wa shauri lake, huku msimamo wake ukiwa ni kuvunja mkataba na klabu yake. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Baada ya uamuzi huu wa TFF kutupilia mbali suala la Feisal, ni wazi sasa mchezaji huyo yupo huru kwenda CAS au FIFA ili kupata suluhu ya jambo lake. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

