Uongozi wa Yanga umebainisha kuwa baada ya utambulisho wa Israel Mwenda kuna wachezaji wengine ambao wapo njiani kutambulishwa taratibu zikikamilika hivyo mashabiki wawe na utulivu.

Miongoni mwa nyota ambao wanatajwa kuwa kwenye rada za Yanga ni Josephat Bandawa Singida Black Stars ambaye amekuwa kwenye ubora wake ndani ya timu hiyo.
Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.
Ikumbukwe kwamba Mwenda alitambulishwa ndani ya Yanga akiwa ni mchezaji wa kwanza kwenye dirisha dogo jina lake kuwa ni njano na kijani ameanza mazoezi na wachezaji wenzake yeye ni beki mwenye uwezo wa kucheza kulia na kushoto.



