Yanga & Simba Kukutana CECAFA CUP

Simba na Yanga huenda zikakutana tena kwenye mashindano  ya CECAFA ambapo, Timu za Tanzania zinazoshiriki michuano ya Kimataifa, Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika zitapata nafasi nzuri ya kujiandaa na msimu mpya kwa kucheza na timu za Zambia, Sudan, Rwanda, Kenya na Uganda. Beti na Meridianbet kwa uhakika wa ushindi wako.

Habari za uhakika ni kwamba Yanga, Azam, Simba na Coastal Union zitashiriki michuano ya Cecafa dhidi ya timu kutoka katika mataifa hayo.

Cecafa ni Baraza lenye wanachama 12 ikiwemo Zanzibar, mashindano hayo yashirikisha  vilabu vyote vilivyokidhi  vigezo. Chimbo lako la maokoto ni Meridianbet jiandae kwa ushindi, Jisajili na ubeti hapa.

Timu hizo nne zitakazoshiriki Caf Champions na Caf Confederation Cup zitacheza dhidi ya Al Hilal, Al Merreikh na Hai Ak Wadi za Sudan, Red Arrow ya Zambia na TP Mazembe ya DRC.

Michuano hiyo ambayo itakuwa kabla ya kuanza kwa msimu mpya zitashirikisha timu 16 na itapigwa Tanzania.

Timu nyingine ni Nyasa Big Bullets ya Malawi, SC Villa ya Uganda, APR (Rwanda), Gor Mahia (Kenya), Vital’O (Burundi), JKU (Zanzibar) na El Merreikh Bentiu (Sudan Kusini.

Acha ujumbe