AHMED ALLY: TUNASHINDA LAKINI HATUNA RAHA
Makala iliyopita
MUTALE MAMBO MAGUMU SIMBA
Makala ijayo
KOCHA VITAL ‘O AKATA TAMAA KUIFUNGA YANGA
Ahmed Ally amesema: “Tunashinda lakini hatuna furaha kwa kuwa ushindi ambao tunapata unatokana na juhudi za wachezaji binafsi bado timu haijawa kwenye muunganiko mzuri kwa kuwa wachezaji wengi ni wageni licha ya uwezo ambao wanao.