Barcelona Wanamsaida Countinho Kupata Klabu!

Barcelona wanadaiwa kushirikiana na Philippe Coutinho kumtafutia klabu mpya msimu huu wa baridi.

Barca wanahitaji kuachana na nyota huyu waliyewekeza zaidi ya Euro milioni 130 kuanzia mwaka 2018 huku wakitafuta kumsajili mchezaji mpya Ferran Torres.

Barcelona wako karibu sana na ukomo wa mshahara wao wa La Liga wanaopaswa kulipa, na Coutinho analipwa pesa nyingi kuliko kile wanachopima kama mchango wake kikosini, ni wazi wanaona kumuuza ni jambo sahihi kufanya.

Kwa mujibu wa Sport, Xavi Hernandez amekuwa mkweli kuhusu hali hiyo, akimfahamisha Coutinho kwamba atafute klabu.

Philippe Coutinho, Barcelona
Philippe Coutinho, Barcelona

Na Coutinho anasemekana kuwa amekubaliana hatima yake, akiendelea kujaribu kufanya kazi kwa bidii wakati huo huu pia.

Mbrazil huyo anasemekana kutaka klabu yenye ubora wa juu, na Ligi ya Premia au Serie A ndio chaguo lake.

Hadi wakati huu, hakuna ofa yoyote iliyotolewa, lakini inadaiwa mawakala wa Coutinho wanafanyia kazi hali hiyo, na Barca wameweka wazi kuwa watafanya lolote wawezalo kumsaidia kupata uhamisho anaotaka.


 

TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.