Lukaku Arejea Kwenye Kikosi Cha Chelsea.

Baada ya kuteka vichwa vya habari kwa wiki nzima, Romelu Lukaku vs Thomas Tuchel imefikia ukingoni. Yameisha!

Lukaku alifanya mahojiano na kituo cha Sky Sport Italia ambapo, mahojiano yale yalizua gumzo kwenye ulimwengu wa soka. Kufuatia ukubwa wa habari hiyo, mshambuliaji huyo aliondolewa kwenye hesabu za Tuchel kwenye mchezo dhidi ya Liverpool.

Baada ya maongezi ya ana kwa ana kati ya Romelu na Tuchel, sasa yameisha. Tuchel amethibitisha kumjumuisha mshambuliaji huyo kwenye orodha ya wachezaji watakaochuana na Spurs wiki hii.

Chelsea watapambana na Spurs katika mchezo wa nusu fainali ya Carabao Cup. Huu ni mchezo muhimu kwa timu zote katika kujiweka kwenye nafasi ya kubeba kikombe msimu huu.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.