Barcelona: Taarifa zinasema kuwa huenda Lionel Messi ameshafanya maamuzi ya kutorejea klabuni hapo kwa sasa kwa ajili ya maandalizi ya Pr-season.
Mpaka sasa Lionel Messi bado hajashiriki kwenye kikosi cha Barcelona cha Pre-season tangia aliposhiriki michuano ya Copa América akiwa pamoja na Sergio Aguero na Emerson Royal.
Agosti 2 ilipaswa kuwa tarehe ya kurejea kwa wachezaji hao watatu kwa ajili ya maandalizi ya mwanzoni mwa msimu.
Taarifa zinataja kuwa huenda wachezaji wawili pekee wakaweza kurejea kama ilivyopangwa huku Messi akiendelea kusubiri kidogo.

Ugumu ulipo Messi kurejea Barcelona
Mpaka sasa Lionel Messi bado hajasaini rasmi mkatana mpya, licha ya ukweli kwamba tayari ameshafanya makubaliano ya masharti ya mkataba mpya.
Staa huyu anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka 5, bila shaka anaweza kustaafu soka lake la kulipwa akiwa klabuni hapo kama atasaini mkataba huo. Barecelona bado wanapambana kuweka sawa vitabu vyao vya malipo ili kuendana na masharti ya mishahara ya La Liga, vinginevyo hawawezi kukamilisha dili na Messi.
Unakila sababu ya kuwa moja ya mamilionea katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Mchezo wa Ruby Casino Queen unaweza kukufanya ujishindie mkwanja mrefu. Furahia ubora wa kasino zetu na njia kibao za kuwa mshindi leo hii ukiwa na mrembo Ruby.!


