Kulingana na jarida la SPORT, Klabu ya Barcelona inataka kumsajili winga wa Manchester City, Raheem Sterling katika dirisha hili la majira ya kiangazi.
Miamba hao wa Hispania wanamtaka Sterling, 26 kuwa usajili wao mkubwa wa majira ya kiangazi, huku wakitaka kuuza baadhi ya wachezaji kwaajili ya fadhili pesa ya usajili huo.
Barcelona wanatumaini kubalance mishahara ya wachezaji wake katika daftari la hesabu huku wakitaka kupunguza baadhi ya wachezaji kwa kuwauza katika dirisha hili la kiangazi.
Bacelona imewaweka sokoni wachezaji kama Philippe Coutinho, Miralem Pjanic na Samuel Umtiti katika dirisha hili.
Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.