Hesabu za Soka ama Football Mathematics kwa vilabu vinavyoshika nafasi za juu kwenye ligi kuu tanzania bara.

Kwa Upande wa Simba ki  ma hesabu kwenye mechi 5 za mwisho ligi kuu Tanzania bara.

Ushindi –Mechi 5
Kufungwa-mechi 0
Sare-Mechi 0
Magoli ya kufunga- 12
Magoli ya kufungwa-2
Form ya Simba –W-W-W-W-W

Hesabu
Kikosi cha Timu ya Simba

Azam kwenye mechi 5 za mwisho ligi kuu Tanzania bara.

Ushindi –4
Kufungwa- Mechi 0
Sare-Mechi 1
Magoli ya kufunga-8
Magoli ya kufungwa-3
Form ya Azam –W-W-W-D-W

Hesabu
Kikosi cha Timu ya YANGA

Yanga kwenye mechi tano za mwisho ligi kuu Tanzania bara.

Ushindi –Mechi 3
Kufungwa-Mechi 1
Sare-Mechi 1
Magoli ya kufunga-6
Magoli ya kufungwa-2
Form ya Yanga- W-D-L-W-W

Hesabu
Kikosi cha timu ya Azam

Zingatia-Hakuna timu iliyoshinda mechi zote tano zilizopita kwenye ligi kuu Tanzania bara na kufunga magoli zaidi kumi isipokuwa Simba Sc Tu.


WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa