Onyango kwenu ni babu lakini kwa Simba bado kijana mbichi na anastahili kubaki nao , huko Msimbazi Beki anayefahamika pia kwa utambulisho wa ‘Nusu Mtu Nusu Chuma’ kutokana na ungangari wake kazini, Joash Onyango, aliyesajiliwa na Simba msimu huu kwa mkataba wa miaka miwili akitokea, Gor Mahia ya Kenya ameongezewa kandarasi mpya ya miaka mingine miwili itakayombakiza hadi 2024
Onyango
Joas
“Tayari tumewataarifu Ochieng na wakala wake kupitia barua pepe kuwa tunahitaji kumuongeza mkataba mpya wa miaka miwili ambao utaanza mara baada ya huu wa sasa kumalizika,”

“Mkataba wa awali ulikuwa wa miaka miwili ambao utamalizika mwisho wa msimu ujao lakini kutokana na kiwango bora alichoonyesha Onyango tumeamua kumuongeza mwingine wa miaka miwili ambao utamalizika 2024,” amesema mmoja wa vigogo ndani ya Bodi ya Simba na kuongeza.

“Tumefanya hivyo kutokana na timu kuhitaji mchango wake lakini kama kuna ambao watakuwa wanataka huduma yake tunaweza kuongea nao huku akiwa na mkataba mwingine wa Simba.”


WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa