Wachezaji wanne wa klabu ya Bayern Munich wapata maambukizi ya Uviko-19 huku kocha wao akikamilisha idadi na kufikia waatu watano wenye maambukizi mpaka sasa kwenye klabu hiyo.
Wachezaji wa hao wote watakosa mazoezi na itabidi wajitenge kwa siku 14 ili waweza kujiuguza, wachezaji ambao watakoseka kwa kipindi hicho ni Manuel Neuer, Kingsley Coman, Corentin Tolisso na Omar Richards.
![]()
Mwezi Disemba mchezaji wa Bayern Munich Joshua Kimmich alikaa nje kwa wiki nne baada ya kukutana na mtu aliyepata maambukizi ya Uviko-19, pia mwezi Oktoba alizua taharuki baada kukataa chanjo kabla ya kukubali kuchanja.
Bayern munich watarejea tena uwanjani siku ya ijumaa ikiwakaribisha Borussia Moenchengladbach kwenye ligi kuu ya Ujerumani, ambapo mchezo huo utachezwa pasipo mashabiki.
Unaanzaje siku yako katika msimu huu wa sikukuu, mchongo upo meridianbet kasino. Sloti pendwa ya Sahara Richies inaweza kukufanya ukawa milionea katika kufunga mwaka huu, Jiunge na ufurahie kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa.

CHEZA HAPA

