Bilic Apigwa Faini ya £8,000 na FA.


Kocha Slaven Bilic wa West Bromwich Albion amesisitiza kwamba “sijafanya kosa lolote” licha ya kukubali kutozwa faini ya Bilic Apigwa Faini ya £8,000 kutoka kwa Shirikisho la Soka la Uingereza (FA).

Mkufunzi huyo raia wa Croatia alionyeshwa kadi nyekundu mwishoni mwa kipindi cha kwanza katika mechi iliyokutanisha kikosi chake na Everton kwenye Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) mnamo Septemba 20, 2020.

 

Bilic Apigwa Faini ya £8,000 na FA.

Chini ya kocha Carlo Ancelotti, Everton walisajili ushindi wa 5-2 katika mechi hiyo iliyochezewa uwanjani Goodison Park.

“Nilizungumza na viongozi wa FA na wasimamizi wa klabu ya West Brom baada ya mechi hiyo. Licha ya kuwasisitizia kwamba hakuna kosa nililokuwa nimefanya, bado nilitakiwa kulipa faini,” alitanguliza bilic.

“Ingawa sikubaliani kabisa na maamuzi hayo, nimekubali faini kwa sababu ndiyo njia rahisi zaidi ya kuondokea balaa, Kusahau yaliyojiri na kuendelea mbele na majukumu yaliyopo mbele yetu,” akasema kocha huyo.

 

Bilic Apigwa Faini ya £8,000 na FA.

Bilic, 52, aliambulia kipigo Goodison na kuanza kumzomea refa Mike Dean aliyemwadhibu beki wa zamani wa Arsenal, Kieran Gibbs kwa kumkabili vibaya fowadi mpya wa Everton, James Rodriguez aliyeagana na Real Madrid mwanzoni mwa mwezi huu.

West Brom watakuwa wenyeji wa Chelsea uwanjani The Hawthorns mnamo Septemba 27, 2020, na Bilic ambaye hakupigwa marufuku, ataruhusiwa kukaa katika sehemu ya makocha baada ya kutozwa faini.


FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

39 Komentara

    alipe tu faini hakuna namna maana kashaandikiwa makosa tayari

    Jibu

    Duuh majanga ayo yamemkuta Bilic ila ndio Mambo ya kimichezo yalivyo

    Jibu

    Kocha huyu wa West brown Slaven Bilic sidhani kama kulikua na uhitaji wa kutozwa faini ila kadi nyekundu alistahili,kocha kama kocha akiona anatendewa sivyo basi yupo na haki ya kuhamaki na ile ilikua hamaki tu,ila wakulungwa FA ndio washamtwanga fine hivyo

    Jibu

    Aende tu akalipe fine ili mambo yaishe

    Jibu

    Kukubali kosa sio kutenda kosa bora ya kukubali yaishe mambo mengine yaendelee

    Jibu

    Duu alipe tuu fain akuna jinsi ndio ivyo ishatokea ndokashandikiwa kosa akunajinsi

    Jibu

    Alipe tu ili yasiwe Mambo mengi

    Jibu

    Pole yao

    Jibu

    Du! Pole yake..

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Kama sheria ndio ilivyo bac hanaaki ya kutozwa faini

    Jibu

    Alipe tu fain mana hakuna namna

    Jibu

    Kuna kitu kinatengenezwa kwenye mpira ambapo maamuzi mabaya ya marefa hayahojiwi na yeyote na mwisho siku watabaki kuwa miungu watu ktk mchezo wa mpira wa miguu#meridianbettz

    Jibu

    Alipe tu faini ili iwe fundisho kwa wengine

    Jibu

    Pol yk

    Jibu

    Jamani

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Duuh pole sana bilic kila kazi inachangamoto zake hata kama wewe mwenyewe unajua kuwa hujafanya kosa lakini shelia imesema hivyo basi lipa tuu kwani kila tatizo linalokuyokea mwanadam huwa linakuaga limebeba mbegu ya suluhisho

    Jibu

    Duh polee

    Jibu

    Pole sanaaa

    Jibu

    Alipe tuu mambo yasiwe mengi!!!

    Jibu

    Adhabu inastahil kwa mtu kam huyu ambae ni mwalim anefundisha anatakiwa awe kiongoz bora

    Jibu

    Haina namna ilipwe tu kiroho safi

    Jibu

    Lipa tu baba hakuna jinsi

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    alipe na abadilike

    Jibu

    kutozwa faini ila kadi nyekundu alistahili,kocha kama kocha akiona anatendewa sivyo basi yupo na haki ya kuhamaki na ile ilikua hamaki tu,ila wakulungwa FA ndio washamtwanga fine hivyo

    Jibu

    Hakuna namna lkn alikuwa anajaribu kuexpress kuhusu maamuzi yasiyo sahihi katika mchezo

    Jibu

    Ajali kazini ajipange upya tuu

    Jibu

    Duuh pole yake

    Jibu

    Duuh alipe tu mana mda mwengine marefa pia wanakosea sema tu likitokea uwanjani refa ndio mwamuzi wa mwisho

    Jibu

    Duuh hatari alipe tu hakuna jinsi

    Jibu

    Pole yake. Ila hana jinsi alipe tu mambo yasiwe mengi

    Jibu

    majanga

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Duh

    Jibu

    Kuna kitu kinatengenezwa kwenye mpira ambapo maamuzi mabaya ya marefa hayahojiwi na yeyote na mwisho siku watabaki kuwa miungu watu ktk mchezo wa mpira wa miguu

    Jibu

    Duh majAnga kwl

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.