Katika muendelezo wa fainali ya NBA – Western Conference. LA Lakers wameendeleza ubabe dhidi ya Denver Nuggets.
Mchezo wa 4 umemalizika kwa LA Lakers kushinda pointi 114-108 dhidi ya wapindua meza – Denver Nuggets. Matokeo haya yanawapa Lakers faida ya ushindi wa 4-1 na sasa anahitaji ushindi 1 tu kutinga Fainali ya NBA msimu huu.
Anthony Davis ameendelea kuwa kwenye kiwango thabiti na kuipatoia Lakers pointi 34. LeBron James nae aliongeza pointi zingine 26 na kucheza mipira 9 iliyokufa pamoja na kutoa pasi 8 za magoli.
Japo kuwa Nuggets wamepoteza mchezo, Jamal Murray ameendelea kuwa gumzo na mchezaji muhimu kwenye kikosi chao baada ya kupatia timu hiyo pointi 32.
“Nadhani leo tumecheza tukiwa na nguvu kubwa. Mchezo wa 3 hatukuwa na nguvu za kutosha kuanzia mwanzo mwa mchezo.
“Leo tumeimarika zaidi na tumeutawala mchezo kuanzia mwanzo mpaka mwisho.” amesema mlinzi wa Lakers – Kentavious Caldwell-Pope.
Mchezo wa 5 utacheza kesho Jumamosi, ushindi kwa Lakers itakuwa ni tiketi ya kucheza fainali dhidi ya mshindi wa Eastern Conference ambapo mpaka sasa, Miami Heats wanaongoza kwa 3-1.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


sylvester
Lakers moja ya timu bora sana ya kikapu Marekani wanaweza fika fainali sababu ya kuwafunga wapindua meza Denver Nuggets na michezo michache iliyobakia kumalizia
Adelta
Good news 👍
Lydia Emmanuel Magoti
Lakers nitimu nzuri inayo sifika uko Marekani na nimchezo unao tamba uko akiyao kucheza fainal
magdalena
lakers wapo vizuri sana
Tatu
Lakers wapo vizuri
Caroline
All the best
Sauda
Lakers mabingwa.
Dorophina
Lakers wanakuja na speed
Zeiyana
Hii mechi hitakua ngumu kwa upande wa la Lakers kwani wapinzani wao nao wapo vizuri hawajawai kupoteza hata mchezo mmoja
Shan
Ubingwa ni wa laker
Khadija
Asante kwa nakala
Janeflora malisa
Nice
Sadick
Ikiwa LA LAKERS itashinda ubingwa wa NBA msimu huu sifa kubwa itakuwa kwa Lebron James aliyefufua matumaini ya LA kuwika baada ya kustaafu kwa Kobe Bryant#meridianbettz
Leonard
Vizuri
aisha
Nawapongeza sana LA LAKERS kwa kupata point 114 dhidi ya wapinzani wao hilo ni jambo zuri
Venerose
Safi sana
Mwajumah
Lakers wapo vizur sana
Fatuma kasomo
Gud news
Rose kapinga
Lakers hatar sana!!
Samiah
Gud
Issa
Mwendo wa davies na le bron nan wa kuuzuia
Elika
Kila la kher lakers mzuri kusonga mbele
Hopemwaikuka
Nawakubali kinyama
Rehema
Big up meridianbet
Gabriel
Lakers kwani wapinzani wao nao wapo vizuri hawajawai kupoteza hata mchezo mmoja
Christa
Mchezo niupendao
Ernest
Lakers chama kubwaaa
Nasra
Mchezo bomba
Ester jackson
Good news
Sabrina
Lakers wako vizuri ni timu inayofanya vizuri NBA
Neema
Lakers wametishaa sana
Zahara omary
Safi snaa
Flomena
Nice
Fatina
Nice
Saupha mohamed
Nice
Amiri Kayera
Nice
David Pere
Lakers moja ya timu bora sana ya kikapu Marekani wanaweza fika fainali sababu ya kuwafunga wapindua meza Denver Nuggets na michezo michache iliyobakia kumalizia
Povel
Mambo ni moto