Colombo Juu ya Goli Lake la Kwanza: Nilifanyia Kazi.

Lorenzo Colombo anafuraha kwamba bidii yake imemfanya acheze mchezo wake wa kwanza na kufunga goli Milan iliposhinda 3-2 dhidi ya Bodo/Glimt siku ya Alhamisi.

Colombo ambaye ni zao kutoka akademi ya Milan, aliiweka mbele Milan kwa 2-1 katika mchezo wa kufuzu kucheza Europa League.

Akiwa na umri wa miaka 18 na siku 200 Colombo amekuwa mchezaji mdogo zaidi kuifungia goli miamba hiyo ya Italia tangu M’Baye Niang afanye hivyo mwaka 2012.

Lorenzo alipelekwa katika nafasi ya mkongwe Zlatan Ibrahimovic, ambaye alipimwa na kukutwa na maambukizi ya Corona na Milan wanaamini aliitendea haki nafasi yake kung’aa.

Colombo Juu ya Goli Lake la Kwanza: Nilifanyia Kazi.
Lorenzo Colombo.

“Iikuwa ni fursa ya kipekee kwangu kucheza, nilifanyia kazi kwa bidii kufika hapa,”aliiambia DAZN.

“Nilipata hisia ya kipekee, nimekuwa nikihangaikia hili, bado kuna mengi yanafuata bado sijafanya kitu chochote.

“Ninafuraha kwa kupata goli, ukurasa mpya nimeuanza lakini kesho tunarudi mazoezini kwaajili ya kujiandaa na changamoto inayofuata.

Colombo alikuwa akihusishwa kuondoka klabuni hapo ili apate timu itakayompa kucheza katika kikosi cha kwanza amesema hatoondoka Milan kwa sasa.

“Nataka kubaki,” alisema. “Nilikuwa hapa Milan tangu mdogo na ninafanya bidii ninataka kuwa hapa kwa muda mrefu.

Alipo ulizwa kama atamuweka sokoni Colombo katika dirisha hili la usajili Stefano Pioli alijibu: Nitaondoka mimi kabla ya Colombo, nataka kuwa hapa.”

Pioli pia alimsifu Colombo baada ya kumkosa mchezaji ambaye amekuwa katika kiwango kizuri Ibrahimovic ambaye amegundulika kupata covid-19.

“Ni kijana wa kipekee ambaye amekamilika, ana hamu kubwa ya ushindi, ni kijana mdogo sana na furaha amefunga katika mchezo wake wa kwanza.


FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

41 Komentara

    🔥

    Jibu

    Inafurahisha kuona mchezaji aliyekulia kwenye Academy ya Timu husika na kupata mafanikio hapo#meridianbettz

    Jibu

    Inapendeza sana

    Jibu

    Ana uwezo

    Jibu

    Colombo yuko vizuri sana na ndio maana alifunga goli la kijanja

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    anafurahia jitihada zake alizozifanya mpaka kupatikana kwa goli ilo safi sana kijana

    Jibu

    Yuko vizuri anaonyesha jitihada zake

    Jibu

    Mwanzo mzuri kwa Colombo

    Jibu

    Inapendeza sana hakika ni mwanzo mzuri kwa Colombo

    Jibu

    Colombo asiondoke milan hapo ndio panamfaa na kukuza jipaji chake ukiangali bado kijana mdogo

    Jibu

    Safii Sana Milan Colombo yupo vizuri

    Jibu

    Mwanzo wake mzuri

    Jibu

    Goli la uhakika

    Jibu

    Kipaji anacho!!

    Jibu

    Colombo yupo vizuri uwanjani anajitahidi sana

    Jibu

    Zao lingine hili zlatan ajaye

    Jibu

    Hongera sanaaaaaa kwako kolombo

    Jibu

    Clombo yupo vzr

    Jibu

    Go colombo

    Jibu

    Inapendeza sana

    Jibu

    Mwanzo mwema kwake na kwa Colombia

    Jibu

    Mwanzo mzuri kwake na Colombo

    Jibu

    jitihada zake alizozifanya mpaka kupatikana kwa goli kwan Mwanzo wake mzuri

    Jibu

    Hongera Sana Lorenzo

    Jibu

    Iko vzuri sana

    Jibu

    Nice thing

    Jibu

    Ameanza vizuri maisha yake ya soka

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Inapendeza sana colombo

    Jibu

    Safi snaa

    Jibu

    Colombo alikuwa akihusishwa kuondoka klabuni hapo ili apate timu itakayompa kucheza katika kikosi cha kwanza amesema hatoondoka Milan kwa sasa.

    Jibu

    mwanzo mzuri

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Mwanzo mzur km mchezaj

    Jibu

    mwanzo mzuri

    Jibu

    Inafurahisha kuona mchezaji aliyekulia kwenye Academy ya Timu husika na kupata mafanikio hapo

    Jibu

    Congrat kwake

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.