Bocco Tutatetea Ubingwa.

Nahodha Simba SC, John Bocco amepima maandalizi yao kuelekea kurejea kwa Vodacom Premier League (VPL) na amekiri mawazo yao yote kwasasa yanaelekea kwenye mechi ya  Ruvu Shooting.

Mechi hiyo itakuwa ya kwanza kwa Wekundu wa Msimbazi kutetea ubingwa wao tangu Ligi isimame mwezi Machi. Japo Bocco anajua changamoto iliyopo mbele yao, lakini amesema watapambana kuhakikisha wanatetea ubingwa wao wa VPL na kufanya vizuri kwenye Kombe la FA.

“Kwenye mawazo yetu tunautizama mchezo wa kwanza lakini tunajua Ligi itakuwa ngumu kwani kila timu imejiandaa vizuri. Ameiambia tovuti ya klabu.

“Tunafikiria kuhusu mchezo wetu dhidi ya Ruvu Shooting, tunatakiwa tushinde ilikujiweka katika nafasi nzuri ya kutetea ubingwa wetu.”

44 Komentara

    Ushindii ni lazimaa na lazima mshindee

    Jibu

    simba kwa sas haina mpinzan kwa tanzania mzima

    Jibu

    Simba ushindi lazima

    Jibu

    Simba babao !hakuna anayemzuia kushindwa kuchukua ubingwa#meridianbettz

    Jibu

    Simba wako vizur swala la kuchukua ubingwa liko wazi

    Jibu

    Ushindi kwa Simba huo ndo mpango mzima

    Jibu

    Kushinda lazima ondoa shake ushindi wenu#meridianbett

    Jibu

    Simba wako vizuri lazma wa chukuwe ubingwa

    Jibu

    Anayemfuata kwa point ni team gani na ina point ngapi?

    Jibu

    Simba bwana

    Jibu

    Simba wako vizur sana

    Jibu

    Safiii akuna kulala Simba sio yamchezo mchezo ubingwa hupo mwendo wa kuwakimbiza tuu

    Jibu

    mawazo yetu tunautizama mchezo wa kwanza lakini tunajua Ligi itakuwa ngumu kwani kila timu imejiandaa vizuri

    Jibu

    Cha msingi mpira n uwanjan tutaendelea kuona Kama kwel

    Jibu

    Yuko sahihi nahodha wetu John Bocco Adebayo Simba tuko vizur wachezaji wenye viwango vya 4G kutetea ubingwa wetu

    Jibu

    Hilo sio la kuuliza Mnyama Ubingwa lazima #meridianbettz

    Jibu

    Simbaaaaaa

    Jibu

    Simba

    Jibu

    Simba ndio habari yao bhna

    Jibu

    Kombe lazima simba wachukue.

    Jibu

    Kwa Simba uwezekano wa kubeba ni Jambo ambalo linaonekana dhahili

    Jibu

    Simba hawana uwezo wa kuchukua ubingwa kwa sasa..

    Jibu

    Kwa simba siongei kitu##meridianbettz

    Jibu

    Aya wacha tuone

    Jibu

    Daa! Aya bwana simba

    Jibu

    Ushindi lazima simba

    Jibu

    Sasa water Mara ngapi wakati wao Ndio wanaongoza ligi na hakuna mwenye uhakika wa kuwafikia waliopo nyuma yao

    Jibu

    Simba lazima wamchukue ubingwa

    Jibu

    Akuna wa kutupinga Simba no one akuna Cha utopolo Wala nn#meridianbettz

    Jibu

    tunautizama mchezo wa kwanza lakini tunajua Ligi itakuwa ngumu kwani kila timu imejiandaa vizuri

    Jibu

    kila mtu Simba ushindi lazima ushindi lazima Kwan nyinyi ndo mnaocheza…?

    Jibu

    This is simbaaa

    Jibu

    Safi sana Captain kwa kuwapa tija vijana wako

    Jibu

    Naona anawapa matumaini yakutosha wana simba

    Jibu

    simba bingwa sio anatetea tuelewane kwanza hapa

    Jibu

    Aya ngoja tuone uyo Simba Kama ajageuka kuwa nyati

    Jibu

    Na vile wapo kwenye ubora wao lazima Timu nyingi zitapigwa tu#Meridianbettz

    Jibu

    Tunasubiri tuone

    Jibu

    Simbaaaaaa jeshi langu sijui nisemeje

    Jibu

    Wawapetu ubingwa wao hao thnks meridian bet tz kwa update

    Jibu

    Simba lazima ashinde

    Jibu

    Simba yetu

    Jibu

    Simba ushindi lazima

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.