Celtic Kumvuta Joe Hart Msimu Huu.

Dirisha kubwa la usajili barani Ulaya linaendelea, miamba ya soka la Scotland – Celtic, wapo kwenye harakati za kumvuta Joe Hart.

Hart anaitumika Tottenham Hotspurs ambapo alijiunga na timu hiyo majira kama haya mwaka 2020. Japokuwa, uwepo wa Hart kwenye kikosi cha Spurs, haujazaa matunda mema kwani hajaitumikia klabu hiyo kwenye mchezo wowote wa EPL.

Celtic wapomazungumzoni na golikipa huyo ambapo inaripotiwa kuwa, klabu hiyo inataka kumsajili mchezaji huyo ikiwa ni usajili ambao utampatia Harts nafasi nyingine ya kuonesha uwezo wake safari hii akiwa nje ya EPL.


KUWA SHUJAA KATIKA KASINO ZA MERIDIANBET!

SHOOT! mchezo unaokupa nafasi ya kupambania ushindi wako mkubwa kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet! Usisubiri hii, jiunge sasa kufurahia ushindi!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

2 Komentara

    Joe atawafaa Celtic wapambane wamchukue

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.