Chalobah Anukia Bayern Munich

Beki wa klabu ya Chelsea na timu ya taifa ya Uingereza Trevoh Chalobah yuko mbion kujiunga na mabingwa wa soka kutoka nchini Ujerumani klabu ya Fc Bayern Munich.

Klabu ya Bayern Munich wameonesha kuhitaji ya beki Chalobah ambaye amekua hapati nafasi ya kucheza mara kwa mara ndani ya klabu ya Chelsea ndio amekua kivutio cha mabingwa hao wa Ujerumani mpaka sasa.ChalobahKlabu ya Bayern Munich chini ya kocha Thomas Tuchel iko mbioni kumpoteza beki wake wa kulia raia wa kimataifa wa Ufaransa Benjamin Pavard ambaye anakaribia kujiunga na klabu ya Inter Milan ya nchini Italia na ndio sababu ya Bayern kutafuta mbadala sokoni.

Kocha Thomas Tuchel ndio anaelezwa kupendekeza jina la beki huyo wa Chelsea kwakua anaamini katika ubora wa mchezaji huyo kwakua alishawahi kufanya nae kazi ndani ya klabu ya Chelsea.ChalobahBeki Trevoh Chalobah mpaka sasa anasubiria klabu yake ya Chelsea itoe ruhusa ya yeye kujiunga na Bayern Munich kipindi hichi ambacho dirisha la usajili likiwa linaelekea ukingoni.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.