City Uso Kwa Uso Na Nottingham Forest, Haaland Hali Tete

Klabu ya Manchester City itaendelea kumkosa mshambuliaji wake kinara wa mabao katika Premier League, Erling Haaland, kuelekea mchezo wao dhidi ya Nottingham Forest utakaopigwa katika Uwanja wa Etihad Stadium tarehe March 04/2026.

City Uso Kwa Uso Na Nottingham Forest, Haaland Hali Tete

Haaland bado hajarejea kikosini kutokana na majeraha yanayomsumbua, hali inayompa kocha wa City kazi ya ziada kupanga safu ya ushambuliaji bila tegemeo lao kuu la mabao. Kutokuwepo kwake ni pigo kubwa kwa mabingwa hao, hasa katika kipindi hiki muhimu cha mbio za ubingwa.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Mbali na Haaland, City pia itaendelea kuwakosa nyota wao wawili wa kikosi cha kwanza, Josko Gvardiol na Mateo Kovacic, ambao bado wako nje wakitibiwa majeraha. Kukosekana kwao kunamaanisha safu ya ulinzi na kiungo italazimika kufanya kazi ya ziada kuhakikisha timu inapata matokeo chanya.

City Uso Kwa Uso Na Nottingham Forest, Haaland Hali Tete

Hata hivyo, City itaingia katika mchezo huo ikiwa na morali ya juu baada ya matokeo mazuri ya hivi karibuni, na matumaini ya kuendeleza presha kwa wapinzani wao Arsenal katika msimamo wa ligi. Ushindi dhidi ya Nottingham Forest utakuwa muhimu katika kuimarisha nafasi yao kwenye mbio za taji la Epl msimu huu.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.