Coutinho To Villa, DONE DEAL!!

Aston Villa wanajambo lao msimu huu. Toka kuuzwa kwa Jack Grealish, sajili zinazofanyika Villa Park ni moto! Philippe Coutinho amesajiliwa rasmi!

Coutinho amekamilisha usajili na sasa ni mchezaji rasmi wa Aston Villa akitokea FC Barcelona kwa mkataba wa mkopo (miezi 6).

Philippe anarejea Uingereza tangu alipoondoka Liverpool kwa gharama ya £146M Januari, 2018. Baada ya miaka 4, anarejea tena kwenye EPL akiwa chini ya Steven Gerard ambaye, waliwahi kucheza pamoja kule Anfield.

Villa wamelamba dume kwenye usajili huu. Uwepo wa Gerard pale Villa Park ni miongoni mwa kitu kilichomvuta Coutinho. Aston Villa watamlipa 50% pungufu ya mshahara aliokua analipwa Barca. Vilevile, wanauwezo wa kumsajili moja kwa moja kwa dau la £33M mwishoni mwa msimu huu.

Mchezo wa kwanza kwa Philippe ndani ya jezi ya Aston Villa unaweza kuwa ni dhidi ya Manchester United wikiendi hii pale Villa Park.


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.