Roma, Italy-Mshambuliaji wa juventus Cristiano Ronaldo ameifungia timu yake ya Juventus goli bora katika umbali mrefu na kuitanguliza timu yake kwa jumla ya mabao 2 dakika ya 56, goli hilo lililofungwa kwa ufundi takriban yadi 22.
Mechi hiyo ilianza kwa kipindi cha kwanza kutokuwa na goli lolote, kipindi cha pili juve walishambulia kwa kasi na kuandika goli la kwanza kupitia kwa mshambuliaji Paulo Dyabala aliewapita mabeki watatu na kunyoosha shuti lililomshinda mlinda mlango wa Genoa, Mattia Perin, katika dakika ya 50 ya mchezo.
Goli la tatu liliwekwa wavuni na Douglas costa katika dakika ya 73 akitokea benc
hi kuchukua nafasi ya Bernadeshi,bao la kufutia machozi la genoa lilifungwa na Andrea Pinamonti dakika ya 76.

Cristiano ronaldo aliekua mchezaji bora katika mchezo huo walioshinda mabao 3-1, aliisaidia juventus kuongoza ligi kuu ya nchini italia kwa alama 72, alama nne zaidi ya Lazio anaeshika nafasi ya pili kwa alama 68, na alama kumi na moja kwa Inter milan anaeshika nafasi ya tatu katika msimamo akiwa na alama 61. Ikumbukwe Juventus ameshinda mechi zake zote tatu tangu alipotolewa katika kombe la Kopa Italia na Ac milan mwezi uliopita.


Franky
Cr7 munyama ..Ni mchezaji anae onyesha ubora kwenye timu yake mpaka kuisaidia……..
neema hassan
CR7 fundiii
Khadija
Mh!!meridian kwa makala mpo vzr#meridianbettz
Sadick
CR7 is living legendary#meridianbettz
Magdalena
CR7 Ni kiboko ya magoli hakipata fursa anaitumia vizuri
Dorophina
Ni kweli kabisa Ronaldo ameisaidia sana juve kupanda daraja kwa magoli yake anayofunga na yanakuwa na kiwango
Njiku
Yupo poa sana cr7 kila anapo enda lazima afanye maajabu
Hamidu
Safi! Cr7 mnyama#meridianbettz
Ester jackson
Pongezi kwa juventus kuonyesha uwezo wao mana mashabiki walikata tamaa wakasahau kuwa yuko kijana matata asiye kubali kushindwa Christian Rinaldo na kuweza kuwawekea alama zuri Jana walishirikiana kwa pamoja na kupata mafanikio ya magoli matatu iko powa sana
Amani
Mnyama cr7
Gabriel
The professional player 👍
Caroline
Ronaldo best footballer ever
Theckla
Cr7 kipaji kipo
isha
Cr7 wako vizuri sana
Dee
Yuko vizuri kijana
Angelina
Cr7 habari yao
Povel
Ronaldo ni moja wachezaj walioleta chachu ya ushndn katika mchezo wa jana
felister
Christian sio mtu wa mchezo mchezo
Evaluziga
cr7 mnyama
tumaini
Maoni:Cr7 fundi
Zeiyana
Ronaldo yupo vizuri sana
Sabrina
Maoni:Ronaldo ndio jeshii pale juve mchezaji mwenyekujitolea
Revina
Ronaldo haachagi fursa kama hizo na hasa akiwa ktk timu yake
Genia Sikaluzwe
Kwa upanda wng naenda kumuita the professional player CR 7 alizaliwa kwenye kisiwa cha Madeira, Ureno, 5 Februari 1985) ni mchezaji soka wa Ureno. Nafasi yake ni ushambuliaji; kwa sasa anacheza nchini Italia katika klabu ya Juventus na timu yake ya taifa.
Mara nyingi huchukuliwa kuwa mchezaji bora duniani na kuonekana kuwa mmojawapo kati ya wachezaji wazuri wa nyakati zote. Ronaldo ana tuzo tano za FIFA Ballon d’Or, ambayo ni zaidi ya mchezaji yeyote wa bara Ulaya, na ni mchezaji wa kwanza katika historia kushinda mara nne viatu vya dhahabu.
Ameshinda tuzo 27 katika kazi yake, ikiwa ni pamoja na mataji matano ya ligi kuu, vikombe vya UEFA Champions League na moja ya UEFA nations league.
Ronaldo atastaafu na kumbukumbu za mabao mengi rasmi yaliyofungwa katika ligi za juu za Ulaya, Ligi ya Mabingwa ya UEFA kwa ngazi ya klabu na ya mataifa , pamoja na magoli mengi yaliyofungwa katika michuano ya UEFA Msimu wa Ligi. Amefunga mabao zaidi ya 600 katika klabu yake na nchi yake.
Hivyo basi kitendo kuirudisha juve natambua uwezo wake yuko vzur sana
Flomena
Ikumbukwe Juventus ameshinda mechi zake zote tatu tangu alipotolewa katika kombe la Kopa Italia na Ac milan mwezi uliopita.#meridianbet
farida ahmadi
Hongera Sana cr 7 upo vzr haujawah kutuangusha mashabiki wako great work
Theonestina
Cr7 jeshi
fatumakasom
Safi yupo vizuri
Amiri Kayera
Iyo ndo moja ya faida kua na mchezaj mkubwa
Shafii
Cr 7 hakuna anaempinga kwamba yeye ni tegemezi La kila timu aendayo na mpambanaji Sana big up cr 7
warda
Kwa CR7 Nilitalajia hivyo#Meridianbettz
Mwanaidi
CR7 hajawahi kuiangusha timu anayoichezea hata siku moja ni jembe na atabaki kuwa hivo big up kwake tunatarajia makubwa zaidi ya haya mashabiki wa juve
Ester mmakasa
Safi sana kijana mpambanaji yaani uko vizuri .
Samiah
Mnyama Cr7
David Pere
Huyu jamaa Nina anatisha Ndio maana hata kocha mwenyewe anaweweseka wakati anapokosa kimpanga CR7
Isaya massawe
Jeshi la mtu mmoja no mchezaj ambaye anaweza kukufanya usibanduke kwenye TV yako anafanya vizuri sana na ni mtu wa kujiongeza
Lydia Emmanuel Magoti
Cristiano Ronaldo mpambanaji
Latifa juma mohamed
The nice player cr7 in da world,he more famous than other player, kijana anatisha Sana awepo uwanjan ,tunarajia mema na mazur kutoka kwake kulingan na kipaji chake Cha uzlchezaji.
Zuhura omary kindamba
Cristiano ronaldo yupo vizuri sana
lombo
Cr7 jesh yuko vzur popote anang’aaa
Furahav
CR7 anarudi kwenye kiwango chake.
Salma
Cr7 jeshi la mtu 1
Mwajuma
Cr 7 yupo vizuri
Tatu
Cr7 anajua mpira