Mwaka 2019, Dani Alves aliweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza katika historia ya soka kufikisha mataji 40👑🏆.
Alves ameweka historia hiyo na kumfanya kuwapiku wakongwe wote wa zamani katika soka la Dunia na soka la Brazil.

Dani Alvez aliweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufikisha makombe 40 katika historia ya soka mara baada ya Brazil kuifunga Peru katika fainali ya Copa America.
Dani ameshinda vikombe viwili(2) vya Copa America, vikombe viwili vya Kombe la mabara (Confederations Cup) akiwa na Selecao.
Pia, ameshinda vikombe viwili (2) vya Europa league, Spanish super cup 1 na UEFA Super Cup 1 pale Sevilla.

Ameshinda vikombe 6 vya La Liga, Copa del Rey 5, Spanish Super Cup 4, UEFA SupernCup 3, Champions league 3 na Club World Cup 3 akiwa na Barcelona.
Kikombe kimoja (1) cha Ligue, French Super Cups 2, French league Cup 1, na Coupe de France 1 akiwa na PSG, na kikombe kimoja (1) cha Serie A akiwa na Juventus.
Viva Alves, Viva Alves.!
Drops and Wins!
Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.


Ernest
Alves anabahati sana
Sylvester
Pongezi nyingi kwake anastahili kwani amechezea timu nyingi na kupata mafanikio makubwa
Mwajumah
Alves anastahili pongezi nyingi Kwan amechezea timu nying na kupata mafanikio#Meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Pongezi Sana kwake Anastairi kwasababu amecheza timunyingi nazote nikubwa
Ester jackson
Pongezi sana dash sikujua haya yote
Fatina mfingi
Pongezi kwake kwa jitihada zake
Nasra
Kwa alichokufanya kwa baadhi ya timu anastahili pongezi
Zeiyana
Alisumbua sana hezi zile alves..!histor yake hawezi kufutika
Mwanahamisi
Alves anastahili pongezi
Furahav
Alvesi anamafanikio makubwa katika soka.
Fatina mfingi
Anastahili hay mafanikio alvesi coz alijituma na kuweka muda mwing kweny sok
Gabriel
Dani Alves ni bonge la streka ambaye rekod yake iko had sasa namkubal sana huyu jamaa
Adelta
Anastahili pongezi kwa sababu kila timu anayoenda kushiriki anawaachiya mafanikio makubwa@meridianbettz
Dorophina
Alves anawakimbiza tu wabrazil yupo vizuri
Rama
Hongela sana kwake
Tahiya
Pongez kwake alves mana uwa anapambana sana
Khadija
pongezi sana
Samiah
Pongezi kwao
aisha
Dani ni mtu mwenye bahati sana
Magdalena
pomgezi kwake alves
Saupha mohamed
Pongezi kwake
Povel
Alves DANi legendary aliye staafu na ubora wake vle vle katuachia doa kwny soka la Sasa pumzika legendary wenu vle vle Congrats 🏆🏆🏆🏆🏆
Salma ngende
Calves yupo vizuri
Salma ngende
alves yupo vizuri
Johnmary joel
Hongera zake#meridianbett
Sabrina
Dani Alves anastahili pongezi yuko vizuri sana
Amiri Kayera
Big record
Sadick
Viva Dani Alves kwa mafanikio#meridianbettz
Devotha
Hongera zake
farida ahmadi
Hongera Sana Daniel Alves
Theonestina
Hongera yake
Janeflora malisa
Good
Latifa juma mohamed
Alves amecheza timi nyingi pongez kwake Sana.
David Pere
Pongezi nyingi kwake anastahili kwani amechezea timu nyingi na kupata mafanikio makubwa
Fatuma kasomo
Poangezi nyingi kwake
Shan
Hongera Kwake!
warda
Kweli Dani Alives ni Historia#Meridianbettz
felister
pongezi nyingi sana sana ziende kwake
Tatu
Pongezi kwake
Samira
Alaves anabahati sana
Hope mwaikuka
Aisee nlkua cjui hii
Issa
Saf alves kwa historia nzur
Shafii
Alves alikua na bahati Sana kwenye soka la miguu katika career yake.