David de Gea anahitaji mataji ili kuendana na kariba yake, hayo yamesemwa na Kocha wa De gea na Timu ya Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer.
David anatarajiwa kuwa Kipa wa pili kwa Manchester United baada ya Alex Stepney kufikisha Michezo 400 ya kuitumikia Klabu hiyo watakapo vaana na Southampton siku ya Leo.
Mhispania huyo mwenye miaka 29, ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka ndani ya Klabu yake mara 4, Mara moja zaidi ya Cristiano Ronaldo.

“Sidhani kama atakuwa na Furaha mpaka ashinde Taji kubwa,” alisema Solskjaer
“Ni kweli ameshinda Tuzo binafsi lakini David sio mtu wa kujali kuhusu hilo. Nadhani anahitaji timu ipate pia. Kukaa ndani ya Klabu kwa muda wote bila kupata mataji mengi atahisi ni doa jeusi katika kazi yake.”
Katika kipindi cha miaka tisa pale Old Trafford, Manchester United wamefanikiwa kuchukua Ubingwa wa Uingereza mara moja, FA mara moja, EFL mara moja na Europa League mara moja.
Alikuwa katika benchi katka mechi ya fainali ya Europa League dhidi ya Ajax mwaka 2017, nafasi yake ikichukuliwa na Sergio Romeo.
Legend wa timu hiyo Peter Schmeichel ameshinda mataji 11 akiwa Klabuni hapo, Ligi ya Uingereza mara 5 na Ligi ya Mabingwa Ulaya katika kipindi cha 1991 – 1999, akiwa amecheza mechi 398.
“David yupo sawa Kisaikolojia, huwezi kumtoa Mchezoni,”alisema Schmeichel
“Hivyo ndivyo unatakiwa kuwa ukiwa mlinda mlango wa Manchester United. Kosa lolote dogo linakua kichwa cha habari. kama huwezi kupambana na hali hiyo, itakutoa mchezoni.”
Kuna ofa kibao sana unzaofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet. Jiunge sasa kufurahia ofa zetu.
Bonyeza HAPA Kujiunga.


Magdalena
De gea anastahili kupewa taji ni goalkeeper mwenye viwango vyake
Lydia Emmanuel Magoti
Safii Sana David de Gea nikipa mzuri Sana anajituma
Adelta
Anastahili pongezi
warda
Ni kweli Aisee#Meridianbettz
fatumakasom
Yupo vizuri kipa mzur sana
isha
Safi sana anahitaji pongezi david
Salma
Anastahili pongezi
caroline
De Gea anastahili jamani
Angelina
Anastahili
Franky
Kipa atar sana uyuu…
Omary lukumbi
Safi sana na ni kweli kwa david de gea anatakiwa kunyakua kombe la ligi ya mabingwa ulaya akiwa na man United
Khadija
Ni kweli Aisee#meridianbettz
Zeiyana
De gea kweli hanastaili pongezi
felister
anastahili
Shafii
Ni jambo zuri Sana.
Issa
De gea ni kipa anaehitaji makombe united isipopsmbana kwa hilo inaweza ikakosa huduma yake sababu kuna vilabu kama madrid vinamuwania sana
Edgar
Nikwel kabisa hanaitaj mataji man coz anaisaidia sana man u ingawa some time wana mlaumu kwamba kiwango kimeshuka.. lakn ukiangalia kwenye mechi mapambano bado anaishi save man u…
Njiku
De gea fundii sana
Latifa juma mohamed
Safi kwa kweli kila Safi Sana David de Gea.
JULIANA
Kweli uyu jamaa anastahiri tunzo kubwa
Hope mwaikuka
True 🙊
Isaya massawe
Anachotakiwa ni kuendelea kuonesha ubora wake zaidi
farida ahmadi
Anastaili David de gea kipa bora Sana
Furahav
Yuko vizuri.
Tatu
Safi sana anastahili pongezi
Johnmary joel
Nikipper mzuri sana#meridianbett
Gabriel
Ukwel lazma usemeke me upande wng namkubal sana garl Neville kuwa alichokizungumza baada ya mech waliyocheza na Hotspur yuko sahihi japo de gea n golikipa mzur sana lakin ole Gunnar hakupaswa kumsimfia mapema wakati tunaona makosa yake kibao ambayo mengi n ya kujirudia ambayo yanaweza kubadilishika ila yy anafanya kusudi kabisa hivyo kwa kitendo cha ole Gunnar kumkingia kifua de gea
pamoja na kusema kuwa ndo
golikipa bora dunian huo n
mtazamo wake sio kwa wanaojua mpira
devotha
De Gea ni kipa mzuri sana
Hamidu
Kipa Bora siku zote de gea#meridiAnbettz
Rehema
Iko sahihi
sabrina
Namkubali sana De Gea
Povel tz
Gud news
Amiri Kayera
Kwr kabisa
Samiah
Anastahili pongezi
Ernest
Kwa mapendekezo yangu anatakiwa kuihama Man U mapema kabla ya umri haujaenda zaidi.
tumaini
ni kweli maelezo ya kocha ole sio de gea
Mwajuma msangi
Aongeze juhudi tu atapata
David Pere
Ndicho kitu kilichobakia kwake hasa Yani la UEFA maana dio lililobakia kwake
Ester jackson
Yuko sahihi
Dorophina
De gea ni kipa anayejituma sana uwanjani alitakiwa kupata hizo tunzo
Genia Sikaluzwe
Anastahili ponge
Neema juma
Pongezi kwakee
Flomena
De gea ni kipa mzuri sana
Saupha mohamed
De gea namkubali sana
Sadick
Aimarishe kiwango chake ikiwa anataka kufikia lengo hilo maana amekuwa akifanya makosa mengi yanayoigharimu timu#meridianbettz