Dewji Aipa Jeuri Simba

Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, Mohammed Dewji amewahakikishia mashabiki kuwa hakuna mchezaji yoyote atakayeuzwa kwenye dirisha la Usajili lijalo.

Miamba ya Ligi Kuu Tanzania Bara wana maazimio ya kutengeneza kikosi imara kuelekea msimu ujao wa Caf Champions League wakiwa na uhakika wa kuwakilisha nchi katika michuano hiyo kwa mara ya tatu mfululizo.

Dewji amethibitisha kwa taarifa aliyoweka kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii kwamba klabu haitaruhusu mchezaji yoyote kuondoka kwenye kikosi cha sasa na watamsajili mchezaji yoyote atakayehitajika na kocha.

“Wanasimba wenzangu nataka niwahakikishie hakuna mchezaji wetu yoyote atakayeondoka Simba, lakini pia tutasajili mchezaji yoyote, kutoka popote kama kocha wetu atamuhitaji kwenye kikosi chake.”

Hivi karibuni, Simba imehusishwa kutaka huduma ya wachezaji wawili wa Gor Mahia beki Joash Onyango na kiungo Kenneth Muguna.

49 Komentara

    Ahaa jeuli ya pesa

    Jibu

    Baba kasema tutasajir mchezaji yeyote kutoka popote wanasimba tupewe nini tena ni muda tyuu wa wachezaji wetu kutupa burudani

    Jibu

    Pesa ndo kila kitu

    Jibu

    Mwenye pesa sio rafiki yako ,Simba wanatakiwa wakaze buti sio kwa kupendelewa uko.

    Jibu

    Pesa ndiyo kila kitu ktk maisha

    Jibu

    habari njema kwa mashabiki wq simba

    Jibu

    Sana tu jeuri ya pesa iyo ana uwezo wa kufanya chochote kile kwenye timu ya simba apana chezea mo baba lao

    Jibu

    Wakaze buti wasibweteke

    Jibu

    Tajiri yupo vizuri mfukoni maana adi mchezaji anauzwa uwa kuna mauzauza klabuni asa katika mishahara

    Jibu

    Kwa raha zao

    Jibu

    Pesa inangea bana kocha kazi kwako mchezaji yoyote kutoka sehemu yoyote Simba ipo juu na uongozi wake pia upo vizuri ndio mana matokeo yao yanakuwaga mazuri uwanjani sababu wanapewa nguvu

    Jibu

    Habari nzuri kwa mashabiki wa simba..

    Jibu

    Kweli pesa ndio kila kitu

    Jibu

    Pesa inawapa jeuri

    Jibu

    Pesa ndio mpango mzima

    Jibu

    Pesa iongee na kazi itendeke tusubiri ligi iaze hasaivi ni yakirafiki kupasha misuli

    Jibu

    Tikae tukijua kuwa siku zote Kuna matajiri ni vichaa wa mpira Sasa no Kama huyu mo dewiji lazima Simba iwe najeulu sanaa mwaka huu

    Jibu

    Hili ni jambo zuri sana, naona wameamua kutumia kikosi walichonacho sababu kinakidhi vigezo ata kwenye ngazi ya mashindano ya kimataifa

    Jibu

    Pesa ndo inamfanya ajiamini bhana.

    Jibu

    This is Simba, Simba kawaida yake kuwa na jeuri

    Jibu

    iyo kweli inaitwa jeuri ya pesa ila simba ikifungwa kidogo una panic

    Jibu

    Watu wa young inawauma wenyewe akuna kutoa mapovu

    Jibu

    Hii habari inmenifurahisha sana.

    Jibu

    baada ya dhiki n faraja moo ni mda wake sas huu wa kutamba cz simba iko vizur kila kona kwenye ligi ipo juu mech za kirafiki ipo vizur..

    Jibu

    Habar njema kwa mashabik na wapenz wa msimbazi

    Jibu

    hii ndio maana ya MPIRA PESA, amewaambia hakuna atakaye ondoka ili waimarishe kikosi, maana kuingiza vitu vipya kila siku uzoefu unakua mgumu. safi sana MO., na Meridianbet kwa taarifa

    Jibu

    Ndo raha ya kuwa mpenzi wa timu ata kufanya kitu unafanya kwa moyo mmoja ndo maana anawapa jeuri

    Jibu

    Pesa ndio mpango mzima

    Jibu

    Safii tuu lazima hatambe niaki yake kwachamalake Simba spot krab

    Jibu

    Pesa inaongea bhana

    Jibu

    Ha ha aya bwana.

    Jibu

    Timu yetu iko vizur Sana.hatuwezi kuuza wachezaji wetu bhanaa

    Jibu

    Huyu ni tajiri mwenye machungu na soka

    Jibu

    Pesa ndo mpango mzima lkn Ni habari njema kwa mashabiki wa simba

    Jibu

    Mwenye pesa ndio anaheshimika

    Jibu

    Habari njema kwa wanasimba

    Jibu

    Pesa ndo Kila kitu katika maisha.

    Jibu

    huyu hana lolote

    Jibu

    Kibur mwezie pesa,anajiamin Sana mo.

    Jibu

    Ni jambo zuri kwa Wanasimba

    Jibu

    Pesa sabuni ya roho..ukiwa nayo unauwezo wa kufanya chochote

    Jibu

    Simba babalao! Asante mo dewji

    Jibu

    Kiburi mwezie pesa,mo anajiamini yupo vzr na wanamsimbazi

    Jibu

    Sie mashabiki wa simba tumefurahi sana

    Jibu

    Mnyama atatisha sana#meridianbettz

    Jibu

    Moo Kama Moo#Merianbettz

    Jibu

    Nakukubal mzee baba

    Jibu

    Dewji mtu mbaya

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.